Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Hawajui kua wew ni mrembo. Mtoto rangi imekubali mweusi tititiiii na mahari yako hta namba zake hazihesabiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂
 
Ingekuwa zamani tungeweza kupambana.

Nunene nalemaga gete namhala. Ng'ombe magana abili? Biya gete nulu abize alinamadako matale gudimadandali [emoji16][emoji16][emoji16]
Bhebhe e ng`ombe otenajo mbona ng'ombe magana abili nghehu sana.
 
Jipange basi kwanza na ng'ombe 520
Nikitoa ng'ombe zote hizo nitakuwa nakununua. Mi najua thamani ya mapenzi yangu kwako inatosha kabisa. Usinikimbize kwa sababu ya umasikini wangu wewe mrembo. Njoo kwangu, hao ng'ombe na zaidi tutatafuta pamoja.
 
😂😂😂
 
Tutakuzika ....endeleeni kuvaa kope bandia...macho bandia ...papuchi wekeni ndimu na vitunguu swaumu....mawigi...kaloraiti sana ...mahari zenu hazitozidi laki mbili na kuku wawili
Am sure unanijua vzr mpaka umejua nafanya hayo yote? SMH
 
Back
Top Bottom