Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
duh mahari yote hyo bora niwe bachelor milele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wavaa lace wig mpooo hahahaahhaHi story ni kweli...Sio kila habari ni chai.
Soma hapa.
Meet Nyalong Ngong Deng Jalang whose dowry is 500 cows and 3 V8 cars. | Wiki9ja
Wavaa lace wig mpooo hahahaahha
Duh ana urembo gani huyo Dada mbona wa kawaida tu, sasa ikitokea wameachana mchizi si ataenda kudai mahari yake [emoji4] [emoji4]
😂😂😂😂😂😂😂Mshkaji akitaka kumpiga kiss itabidi atafute stuli[emoji4] [emoji4] vinginevyo atakua anakiss shingo
Yule hana mvuto ameshaazeeka🙈🙈🙈🙈🙈🙈Mbona kwa uzuri hata kwa Naibu Spika haingii
Unashangaa nini hujui thamani ya huyo mwanamke nenda kwa Irene Uwoya hukoyaani mi nitoe mali zote izo ili.nioe mkuki huuu mtoa mada ebu kuwa sirius kidogo bwan
Wanaboa sana 😅😅😅😅😅Umenifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hata mbuzi nisingetoa, labda bata hapo freshUnashangaa nini hujui thamani ya huyo mwanamke nenda kwa Irene Uwoya huko
Wachawi mko wengi sana kama hazai utaolewa wewe badala yake jiandaeKweli wajinga ndio waliwao,halafu bahati mbaya ukute hazai...
Mi hata mbuzi nisingetoa, labda bata hapo fresh
Bata mmoja na mkokoteni tunamalizana kiroho safiJamaa una dharau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetokwa na povu sana Meet Nyalong Ngong Deng Jalang whose dowry is 500 cows and 3 V8 cars. | Wiki9jaAcheni kudanganya watu na vistory vya kutunga! Leta source ya habari tujiridhishe siyo mnatulisha matango pori watu wazima. Hata kwa mtazamo tu wa kawaida kwa kuangalia picha hicho kitu hakiwezekani kwa MA hali yote hiyo, ni uzushi tu!!
😂😂😂😂😂😂😂😂nenda kwa Wema SepetuBata mmoja na mkokoteni tunamalizana kiroho safi
yani gharama yote hiyo ni bikira tu au kuna jambo jengine,mbona mi nimevibikiri vibinti karibu vinne na ni virembo hasa nina mpango wa kukaoa kamoja na mahari haitazidi 1m