Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

Kama ulivyojichua wewe na picha ya mwanaume mwenzio?? Unatafuta kampani eeh pole mwenzio hata nikijichua nayo ni mtoto wa kike sasa shughuli kwako wewe mwanaume unajichua na picha ya mwanaume mwenzio [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Aliekwambia sambinyakwe Ni jina la kiume Nani

Uko na nye..mshindo
 
Umeukwaa hiyo ni kaswende ila itapona kwa antibiotics ningekutajia ila nenda hospitali ukaaibike kwanza alafu kesho utajua umuhimu wa condoms. Na usije ukajidanganya kuingia google ukachukua dawa ukameza kaswende ina stages hiyo ni stage one ukibugi ikakauka inaenda stage 2 ambapo unatokewa na vipele mwili mzima na stage ya tatu inaathiri figo mpka ubongo. Fanya hima nenda hospitali na ujiandae kubaki na kovu kwa muda wa zaidi ya wiki mbili. Condom zipo mpka kwenye vijiwe vya boda ww kimekushinda nn kutumia kinga hata kama zile za serikali(zana) zinasumbua kuna wengine zinawapa aleji ila kitu cha kukulinda unashindwaje kutumia.

Jiulize kama kaswende umepata je ukimwi ungekukosa ww.

[emoji41][emoji41][emoji41]USIONE SOO SEMA NAYE KUHUSU KUSUBIRI KUWA MWAMINIFU AU KUTUMIA CONDOM.[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu, kwani hizo stage zote za Kaswende ukipima kwa vipimo zinaonekana? Au wanapima kwa dalili tu!?.
 
Watu wa JF, ni wa ajabu sana. Wanatagiana kuja kuona maumbile ya mgonjwa. Si kwa lengo la kujifunza, bali kukejeli.

Anyway, turudi kwenye uzi.

Kwanza, pole sana Mkuu. Ni tatizo la kawaida, hivyo comments za wanaJamii zisikutishe sana.

Pili, ni ngumu kidogo kutabiri ni ugonjwa gani. Kwa sababu magonjwa ya zinaa yana dalili kadhaa zinashoshabihiana. Lakini pia, sijapata maelezo yako. Je, tatizo lilianza lini? Je, kwenye muoto huo kunauma? Dalili zinazoambatana na hali hiyo ni zipi? Ukikojoa unaumia?

Tatu, kwa makisio ya kawaida kwa kutumia macho, inaonyesha ni genital warts. Siyo herpes. Kwa asiyefahamu, anaweza dhani ni moja. Ila herpes zinakuwa vijipele wakati warts inaoteana kama kinyama. Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kushiriki ngono isiyo salama.

Hakuna dawa ya kutibu magonjwa tajwa, kinga yako ya mwili inaweza kusambaratisha na kupotea baada ya muda.

Hata hivyo, kuna dawa zinazoweza kupunguza maumivu (endapo yapo). Si busara kuzitaja bila ya kuthibitisha ugonjwa husika.

Nne, yakupasa ufike katika kituo cha afya karibu yako kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Mtaalamu wa afya atakupa dawa kulingana na matokeo ya vipimo.

Tano, nakutakia uponyaji mwema. Zingatia ngono salama na matumizi ya dawa na ushauri wa daktari.
 
Back
Top Bottom