Georgia wenyewe hawajakanusha eti wewe uliyelazwa hapo Mirembe Hospital for the psychiatrists ndio unapinga, endelea kubaki hapo hadi utakapopata nafuu.Hapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Georgia wenyewe hawajakanusha eti wewe uliyelazwa hapo Mirembe Hospital for the psychiatrists ndio unapinga, endelea kubaki hapo hadi utakapopata nafuu.Hapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.
Inaonekana na ww ni mkenya.Hii habari imekuingia sawasawa naona maumivu ya wazi, kama yeye hajaandika andika wewe
Wajisumbua jibu mtu anayetumia FUVU kufikiriUmeisoma habari vizuri ukaielewa? "... some people abandoned their vehicles and proceeded on foot". Au umejitoa fahamu zote? Kwenye kujitoa fahamu pro fashisti always mnagonga distinction; hamkamatiki!
Hili jukwaa ni mahsusi Kwaajili ya siasa za kimataifa kama vipi tulia Tu hayo mambo ya Samia na TANZANIA nenda kwenye majukwaa mengine yapoMbona hutuletei habari za watu wanao kufa kwa njaa kwenye kinchi chenu uchwara?
Juzi rais wako alikuwa analalamika kwenye umoja wa mataifa na kuomba msada wa chakula ili msizidi kufa njaa.
Huu muda unao tumia kufanya propaganda unge utumia kudicus na wakenya wenzio ni namna gani mkabiliane na njaa la sivyo itawaliza.
Mtafisirie mkuu kimombo haoni ndani mwambie watu wametelekeza vyombo vyao vya usafiri na kuanza kuuchachaga mguuUmeisoma habari vizuri ukaielewa? "... some people abandoned their vehicles and proceeded on foot". Au umejitoa fahamu zote? Kwenye kujitoa fahamu pro fashisti always mnagonga distinction; hamkamatiki!
Mkuu nje ya mada, umefuatilia kinachoendelea China. Maana huwa unasisitiza China iko stable ila sio kweli kabisa. Kuna mnyukano wa ndani kwa ndani na factionsUna elewa maana ya amri ya Amri jeshi mkuu ?
Note: Unadhani ni rahisi kukimbia amri inayo tolewa na amri jeshi mkuu kuhusu vijana wa 18 above kujiunga na jeshi la akiba kwa ajili ya kupigania nchi , fatilia Vita vya kagera namna vijana walivyo kuwa Wana kamatwa wale walio kuwa wanaenda kuji ficha maporini.
Sio rahisi kwa vijana wa kiume kukimbia Russia na Ukraine kwa sasa hilo weka kichwani, hata ingetokea kwenye nchi yenu ingekuwa ni hivyo hivyo.
Lete mfano wa taifa moja, maana Uturuki ndiye anayempigisha urusi indirect, Armenia ni coloni la marekani lakini Finland ndio kabisa wameshapeleka ombi la kujiunga na Nato, Gorgia washawapokea 140,000 toka vita ianze na wanaendeleaTatizo baadhi ya hayo mataifa yako kwenye mikono ya Putini anaweza akaamrisha yafunge mipaka yao na kuzuia.
Mkuu napenda namna unavyo fuatilia siasa za kimataifa 😁 hii tetesi ya mnyukano CPC nilijua ninayo mimi tu daah kumbe na wewe mkuu unayo .Mkuu nje ya mada, umefuatilia kinachoendelea China. Maana huwa unasisitiza China iko stable ila sio kweli kabisa. Kuna mnyukano wa ndani kwa ndani na factions
Hii mkuu ina nikumbusha 1950s great leap forward kundi la Chairm Mao [ leftists ] Lili tifuana na kundi la kina Deng Xiaoping lakini ubabe wa Mao aka force mambo mengi kuwa , 1960s kwenye Cultural revolution mtifuano ukaibuka tena Mao na kundi lake likiongozwa na kikosi kazi cha Gang of Four kilipambana ndani na nje ya Chama rivary kama kawaida ni team mabadiliko Deng Xiaoping hii miaka iliondoka na vichwa vingi sana ndani ya Chama Deng Xiaoping akatupwa nje , baba yake na Xi Jinping akafungwa kifungo cha nyumbani na kutolewa ndani ya Chama Xi Jinping alipelekwa maporini huko kwa usalama wake. ndani ya Chama wengi walifekwa balaa Deng alimbebeleza sana Mao amrudishe chamani mzee akakataa baada ya mzee kufariki 1976 mtifuano chamani ukaibuka hapo Deng Xiaoping bado alikuwa ameacha masalia ndani ya chama wakati huo yeye kapelekwa jeshini [ PLA ] na Mao kwa hiyo vugu vugu la kutaka kurudishwa kwa Deng Xiaoping na wenzake likaubuka ndani ya chama kumbuka Deng Xiaoping tayari ana influence ndani ya jeshi na chama. 1976 China ili kuwa inapitia kipindi Cha mpito chini ya Hua Guofeng huyu ni team Mao[ leftists ] kuelekea uchaguzi wa 1978 ndani ya chama Team rights [ Deng Xiaoping na wenzake walio nje ya Chama na ndani pamoja na maafisa baadhi wa PLA ] wakaforce mtaalamu Deng Xiaoping kurudishwa chamani 1977, 1978 uchaguzi ukafanyika Deng akashinda na kumtupa mbali mpinzani wake team Mao baada ya kuchukua kiti Deng akaanza kuwaweka pembeni Team Mao akafyeka wote Gang of four akiwemo mke wa Chairman Mao , 1989 mtifuano ukatokea tena baada ya maandamano ya Tianmen square wanachama walikuwa Wana lalamika namna premier Zhao ziyang maamuzi aliyochukua ya namna ya kudeal na waandamanaji baada ya kuachwa tu ikabidi mtaalamu Deng achukue maamuzi magumu ya kumuweka pembeni Zhao ziyang kuokoa msimamo wake na wa kundi lake na ndipo Deng akachukua maamuzi ya kutuma jeshi kwenda kupambana na waandamanaji kilicho fuata hapo ni kitu kisicho elezeka kwa waandamanaji ikabidi na yeye Deng ajiweke pembeni kuwa Rais na kubaki chamani mpaka 1992 alipo achia kabisa uongozi ndani ya Chama kumbuka 1989 Rais alikuwa Jiang Zemin ambaye alikuwa upande wa kina Deng Xiaoping na baadae akafuata Hu Jintao balaa zaidi ni baada ya kuchukua nchi chuma Xi Jinping 2013 akaanza na kufunga watu kwa rushwa zaidi ya maafisa 1mln wa serikali na chama waliwekwa ndani na wengine kunyongwa .Mkuu nje ya mada, umefuatilia kinachoendelea China. Maana huwa unasisitiza China iko stable ila sio kweli kabisa. Kuna mnyukano wa ndani kwa ndani na factions
Kwahiyo kenya sio nchi?Hili jukwaa ni mahsusi Kwaajili ya siasa za kimataifa kama vipi tulia Tu hayo mambo ya Samia na TANZANIA nenda kwenye majukwaa mengine yapo
Kwa sasa CPC kuna faction mbili kubwa Team Jiang Zemin na Xi Jinping , Jiang Zemin ikiimtuhumu Xi Jinping kujirundikia madaraka na kuwa na mkono wa chuma kitu ambacho sidhani kama madai haya yana maana sana.Hii mkuu ina nikumbusha 1950s great leap forward kundi la Chairm Mao [ leftists ] Lili tifuana na kundi la kina Deng Xiaoping lakini ubabe wa Mao aka force mambo mengi kuwa , 1960s kwenye Cultural revolution mtifuano ukaibuka tena Mao na kundi lake likiongozwa na kikosi kazi cha Gang of Four kilipambana ndani na nje ya Chama rivary kama kawaida ni team mabadiliko Deng Xiaoping hii miaka iliondika na vichwa vingi Sana ndani ya Chama Deng Xiaoping akatupwa nje , baba yake na Xi Jinping akafungwa kifungo Cha nyumbani na kutolewa ndani ya Chama Xi Jinping alipelekwa maporini huko kwa usalama wake ndani ya Chama wengi walifekwa balaa Deng alimbebeleza sana Mao amrudishe chamani mzee akakataa baada ya mzee kukata moto 1976 mtifuano chamani ukaibuka hapo Deng Xiaoping bado alikuwa ameacha masalia ndani ya chama wakati huo yeye kapelekwa jeshini [ PLA ] na Mao kwa hiyo vugu vugu la kutaka kurudishwa kwa Deng Xiaoping na wenzake likaubuka ndani ya chama kumbuka Deng Xiaoping tayari ana influence ndani ya jeshi na chama. 1976 China ili kuwa inapitia kipindi Cha mpito chini ya Hua Guofeng huyu ni team Mao[ leftists ] kuelekea uchaguzi wa 1978 ndani ya chama Team rights [ Deng Xiaoping na wenzake walio nje ya Chama na ndani pamoja na maafisa baadhi wa PLA ] wakaforce mtaalamu Deng Xiaoping kurudishwa chamani 1977, 1978 uchaguzi ukafanyika Deng akashinda na kumtupa mbali mpinzani wake team Mao baada ya kuchukua kiti Deng akaanza kuwaweka pembeni Team Mao akafyeka wote Gang of four akiwemo mke wa Chairman Mao , 1989 mtifuano ukatokea tena baada ya maandamano ya Tianmen square wanachama walikuwa Wana lalamika namna premier Zhao ziyang maamuzi aliyochukua ya namna ya kudeal na waandamanaji baada ya kuachwa tu ikabidi mtaalamu Deng achukue maamuzi magumu ya kumuweka pembeni Zhao ziyang kuokoa msimamo wake na wa kundi lake na ndipo Deng akachukua maamuzi ya kutuma jeshi kwenda kupambana na waandamanaji kilicho fuata hapo ni kitu kisicho elezeka kwa waandamanaji ikabidi na yeye Deng ajiweke pembeni kuwa Rais na kubaki chamani mpaka 1992 alipo achia kabisa uongozi ndani ya Chama kumbuka 1989 Rais alikuwa Jiang Zemin ambaye alikuwa upande wa kina Deng Xiaoping na baadae akafuata Hu Jintao balaa zaidi ni baada ya kuchukua nchi chuma Xi Jinping 2013 akaanza na kufunga watu kwa rushwa zaidi ya maafisa 1mln wa serikali na chama waliwekwa ndani na wengine kunyongwa .
Nitaendelea
Lete mfano wa taifa moja, maana Uturuki ndiye anayempigisha urusi indirect, Armenia ni coloni la marekani lakini Finland ndio kabisa wameshapeleka ombi la kujiunga na Nato, Gorgia washawapokea 140,000 toka vita ianze na wanaendelea
Mbona hatuoni hao Warusi wanao kimbia mkuu?Hivi kwa nini msilete taarifa zinazoeleweka mkuu.Uongo wenu mwingine uko wazi mno.Nadhani ndio mwendelezo wa haya.👇Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake....
![]()
View attachment 2366138
ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to fight in Ukraine following the Kremlin's partial military mobilization.
Queues stretching for 10 kilometers (6 miles) formed on a road leading to the southern border with Georgia, according to Yandex Maps, a Russian online map service.
The lines of cars were so long at the border with Kazakhstan that some people abandoned their vehicles and proceeded on foot — just as some Ukrainians did after Russia invaded their country on Feb. 24.
Meanwhile, dozens of flights out of Russia — with tickets sold at sky-high prices — carried men to international destinations such as Turkey, Armenia, Azerbaijan and Serbia, where Russians don't need visas.
Among those who reached Turkey was a 41-year-old who landed in Istanbul with a suitcase and a backpack and plans to start a new life in Israel.
Deng Xiaoping inasemekana aliondolewa na watu kwenye ngazi, hakuondoka mwenyewe pale juu ila iliwekwa siri na CCP ni wazuri kutunza siri, ni kama Mugabe alivyofanyiwa ila ilikuwa public.Hii mkuu ina nikumbusha 1950s great leap forward kundi la Chairm Mao [ leftists ] Lili tifuana na kundi la kina Deng Xiaoping lakini ubabe wa Mao aka force mambo mengi kuwa , 1960s kwenye Cultural revolution mtifuano ukaibuka tena Mao na kundi lake likiongozwa na kikosi kazi cha Gang of Four kilipambana ndani na nje ya Chama rivary kama kawaida ni team mabadiliko Deng Xiaoping hii miaka iliondoka na vichwa vingi sana ndani ya Chama Deng Xiaoping akatupwa nje , baba yake na Xi Jinping akafungwa kifungo cha nyumbani na kutolewa ndani ya Chama Xi Jinping alipelekwa maporini huko kwa usalama wake. ndani ya Chama wengi walifekwa balaa Deng alimbebeleza sana Mao amrudishe chamani mzee akakataa baada ya mzee kufariki 1976 mtifuano chamani ukaibuka hapo Deng Xiaoping bado alikuwa ameacha masalia ndani ya chama wakati huo yeye kapelekwa jeshini [ PLA ] na Mao kwa hiyo vugu vugu la kutaka kurudishwa kwa Deng Xiaoping na wenzake likaubuka ndani ya chama kumbuka Deng Xiaoping tayari ana influence ndani ya jeshi na chama. 1976 China ili kuwa inapitia kipindi Cha mpito chini ya Hua Guofeng huyu ni team Mao[ leftists ] kuelekea uchaguzi wa 1978 ndani ya chama Team rights [ Deng Xiaoping na wenzake walio nje ya Chama na ndani pamoja na maafisa baadhi wa PLA ] wakaforce mtaalamu Deng Xiaoping kurudishwa chamani 1977, 1978 uchaguzi ukafanyika Deng akashinda na kumtupa mbali mpinzani wake team Mao baada ya kuchukua kiti Deng akaanza kuwaweka pembeni Team Mao akafyeka wote Gang of four akiwemo mke wa Chairman Mao , 1989 mtifuano ukatokea tena baada ya maandamano ya Tianmen square wanachama walikuwa Wana lalamika namna premier Zhao ziyang maamuzi aliyochukua ya namna ya kudeal na waandamanaji baada ya kuachwa tu ikabidi mtaalamu Deng achukue maamuzi magumu ya kumuweka pembeni Zhao ziyang kuokoa msimamo wake na wa kundi lake na ndipo Deng akachukua maamuzi ya kutuma jeshi kwenda kupambana na waandamanaji kilicho fuata hapo ni kitu kisicho elezeka kwa waandamanaji ikabidi na yeye Deng ajiweke pembeni kuwa Rais na kubaki chamani mpaka 1992 alipo achia kabisa uongozi ndani ya Chama kumbuka 1989 Rais alikuwa Jiang Zemin ambaye alikuwa upande wa kina Deng Xiaoping na baadae akafuata Hu Jintao balaa zaidi ni baada ya kuchukua nchi chuma Xi Jinping 2013 akaanza na kufunga watu kwa rushwa zaidi ya maafisa 1mln wa serikali na chama waliwekwa ndani na wengine kunyongwa .
Rais wa China amewekwa kizuizini na Jeshi. Mnyukano wa kuwania uteuzi wa Chama Cha CCP unakwenda kuisambaratisha Serikali ya China.Mkuu nje ya mada, umefuatilia kinachoendelea China. Maana huwa unasisitiza China iko stable ila sio kweli kabisa. Kuna mnyukano wa ndani kwa ndani na factions
Daah ! Mkuu wewe ni wapili humu jf kukutana na mtu at least anaye fuatilia siasa za China , japokuwa hazina sana kelele za vyombo vya habari lakini siasa zao ni ngumu sana mule chamani Kuna makundi yanayo limana balaa toka enzi za Chairman Mao hadi leo wacha tusubiri mwezi ujao hata mimi nasubiri moto kuwaka mule Hall of people Ila naimani Xi Jiping anakula muhula wa tatu wakina Jiang watulie muda wao umeisha kwanza wezi balaa na wapenda rushwa wamuache mtoto wa katibu muenezi wa chama na mtoto wa mkulima Xi Jiping aipeleke China mbali😁.Deng Xiaoping inasemekana aliondolewa na watu kwenye ngazi, hakuondoka mwenyewe pale juu ila iliwekwa siri na CCP ni wazuri kutunza siri, ni kama Mugabe alivyofanyiwa ila ilikuwa public.
Huyo Jiang Zemin ana influence kubwa hadi sasa hasa ya walafi na biashara haramu. Xi anapambana nao sana ila sio kwamba ana complete control na isitoshe mwezi ujao ni mkutano wao mkuu ambao ndio una mbivu na mbichi. Ndio maana Xi kafunga maafisa wakubwa sita hadi sasa akiwemo wa polisi na Waziri wa Sheria ambaye hataki Xi apokee muhura wa tatu. Ndani ya chama na jeshini kuna factions kuu tatu ziko low muda wowote utaziona tu. CCP hawataki lifetime leader kama Mao, Xi anaonekana kutaka hivyo.
Xi ni mzuri kupambana na rushwa hivyo wezi wote hawamtaki. Ila ana uchu wa madaraka na ana maadui hasa wale wenye uwezo kupata nafasi yake, akitokea mtu ana ushawishi juu yeye hamtaki. Na yuko pacifist, jeshi na chama kuna hardliners wengi wanaohisi kwa sasa wana uwezo wa kuivamia Taiwan na wanaforce afanye hivyo
Sidhani kama hilo litatokea mkuu kuiangusha CPC na Kuiangusha serikali ya China sio rahisi hivyo Kuna walio jaribu kilicho wakuta ni kifo , haya mambo huwa Yana tokea kipindi uchaguzi unaelekea kufanyika ndani ya CPC toka wakati wa Chairman Mao mpaka sasa factions ndani ya CPC Ni kwaida hilo Jambo wameshindwa kulifanyia utatuzi . tusubiri mwezi ujao tuone moto utakavyo waka hapo Hall of People .Rais wa China amewekwa kizuizini na Jeshi. Mnyukano wa kuwania uteuzi wa Chama Cha CCP unakwenda kuisambaratisha Serikali ya China.
Huyu mzee ni mpumbavu Sana kwanza umri wake umekwisha enda sana , akiache chama ndio maana Magufuli aliwaambia wastafaa watulie waache kuwashwa washwa.Deng Xiaoping inasemekana aliondolewa na watu kwenye ngazi, hakuondoka mwenyewe pale juu ila iliwekwa siri na CCP ni wazuri kutunza siri, ni kama Mugabe alivyofanyiwa ila ilikuwa public.
Huyo Jiang Zemin ana influence kubwa hadi sasa hasa ya walafi na biashara haramu. Xi anapambana nao sana ila sio kwamba ana complete control na isitoshe mwezi ujao ni mkutano wao mkuu ambao ndio una mbivu na mbichi. Ndio maana Xi kafunga maafisa wakubwa sita hadi sasa akiwemo wa polisi na Waziri wa Sheria ambaye hataki Xi apokee muhura wa tatu. Ndani ya chama na jeshini kuna factions kuu tatu ziko low muda wowote utaziona tu. CCP hawataki lifetime leader kama Mao, Xi anaonekana kutaka hivyo.
Xi ni mzuri kupambana na rushwa hivyo wezi wote hawamtaki. Ila ana uchu wa madaraka na ana maadui hasa wale wenye uwezo kupata nafasi yake, akitokea mtu ana ushawishi juu yeye hamtaki. Na yuko pacifist, jeshi na chama kuna hardliners wengi wanaohisi kwa sasa wana uwezo wa kuivamia Taiwan na wanaforce afanye hivyo
Putin alivamia nchi ya Ukraine bila ridhaa ya bunge la Urusi leo hii anataka waladhimisha wananchi kujiunga na uvamiz wake , hz ni siasa za afrika ni kituko kufanywa na watu tuliamin wapo smartUrusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake....
![]()
View attachment 2366138
ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to fight in Ukraine following the Kremlin's partial military mobilization.
Queues stretching for 10 kilometers (6 miles) formed on a road leading to the southern border with Georgia, according to Yandex Maps, a Russian online map service.
The lines of cars were so long at the border with Kazakhstan that some people abandoned their vehicles and proceeded on foot — just as some Ukrainians did after Russia invaded their country on Feb. 24.
Meanwhile, dozens of flights out of Russia — with tickets sold at sky-high prices — carried men to international destinations such as Turkey, Armenia, Azerbaijan and Serbia, where Russians don't need visas.
Among those who reached Turkey was a 41-year-old who landed in Istanbul with a suitcase and a backpack and plans to start a new life in Israel.