4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hahahaaaaHapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaHapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.
Serikali ya Xi ndio inaweza ondoka ila sio CCP. Na ikitokea anaondoka Xi mwaka wowote kabla hajataka, atakuja hardliner na ndio tutajua hatujui. Taiwan wajiandaeRais wa China amewekwa kizuizini na Jeshi. Mnyukano wa kuwania uteuzi wa Chama Cha CCP unakwenda kuisambaratisha Serikali ya China.
Hapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.
Unadhani RTitaikosoa serikali wenyewe ndo serikaliPole mleta mada
====
Despite the expected increase in discontent among part of the population with the need to take part in this war, even in Ukraine they are forced to admit that the situation may change drastically in the very near future. Ukrainian telegram channels publish videos of large queues of people who came to the military registration and enlistment offices after receiving summonses. The few stories about men allegedly being illegally arrested in broad daylight on the streets of Russian cities turned out to be fake.
====
Zelensiky sindano Zina muingia vizuri
Ukraine expels Iranian ambassador
Kiev plans to reduce Tehran’s diplomatic presence, accusing Iran of selling attack drones to Russia
Rt.com
Umesema vizuri sana mkuu , Xi Jinping kuondoka anaweza akaondoka maana yeye peke yake sio engine ya CPC walikuwepo wakina Mao, Deng, Jiang, Hu ,Hua , Zhuo wote Hawa wameondoka ila CPC na sera zake hazija badilika kuitoa na kuiangusha CPC hapo utakuwa umeiua hii China yote ya sasa maana engine ya China kila kitu imeshikiliwa na CPC kwa hiyo ni ngumu CPC kuangushwa hapo China mbaya zaidi anaye kuja baada ya Xi atakuwa na sera zenye msimamo mkali zaidi ya Xi au ata legeza mambo tofauti na Xi hapa kila mtu hafahamu .Serikali ya Xi ndio inaweza ondoka ila sio CCP. Na ikitokea anaondoka Xi mwaka wowote kabla hajataka, atakuja hardliner na ndio tutajua hatujui. Taiwan wajiandae
Hasira zanini?Mbona hutuletei habari za watu wanao kufa kwa njaa kwenye kinchi chenu uchwara?
Juzi rais wako alikuwa analalamika kwenye umoja wa mataifa na kuomba msada wa chakula ili msizidi kufa njaa.
Huu muda unao tumia kufanya propaganda unge utumia kudicus na wakenya wenzio ni namna gani mkabiliane na njaa la sivyo itawaliza.
Ingia kwenye mtandao wao uombe ajira ya jeshi; fasta utaitwaWanakimbia ajira hawa warusi dah
Putin alivamia nchi ya Ukraine bila ridhaa ya bunge la Urusi leo hii anataka waladhimisha wananchi kujiunga na uvamiz wake , hz ni siasa za afrika ni kituko kufanywa na watu tuliamin wapo smart