Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

Rais wa China amewekwa kizuizini na Jeshi. Mnyukano wa kuwania uteuzi wa Chama Cha CCP unakwenda kuisambaratisha Serikali ya China.
Serikali ya Xi ndio inaweza ondoka ila sio CCP. Na ikitokea anaondoka Xi mwaka wowote kabla hajataka, atakuja hardliner na ndio tutajua hatujui. Taiwan wajiandae
 
Hapo ni border kawaida kuwa na foleni ya magari hao watu wamesimama sioni kukimbia.

Nakwambia media za magharibi zimepania sana kuleta mambo ya kutunga tu hasa wanapo ng'amua kwamba Putin amekwisha wazidi kete - hata hizo picha zinapigwa sehemu nyingine kabisa halafu wanajitia kuzuga wasomaji as if Urusi hapakaliki!! Ulaghai mtupu.

Kama nilivyo sema hapo juu, Putin kesha wakata maini US/UK na EU kwa kupitisha referundum ya majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine ambayo wakazi wake wengi ni wenye asili ya Urusi - yakisha kubali kujiunga na Urusi freely bila ya kulazimishwa na mtu, sasa hii inaweza kutafsiliwa vipi? Simply-ni kwamba: Majimbo hayo yatakuwa ni sehemu ya Taifa la Urusi, hivyo Zelensky na wafadhili wake wakiendelea kushambulia majimbo hayo kwa makombora, basi hiyo italazimisha Urusi kutangaza vita kamili na Ukraine pamoja na wafadhili wake - matokeo yake yatakuwa mabaya sana kwa Zelensky mwenyewe pamoja na jeshi lake, hata kama NATO/US watajiingiza wazi wazi kwenye mapigano haya watakuja kujuta sana eventually - Russia si lelemama kama waswahili/wazungu wengine wanavyo wachukulia - ikikujua makucha yake kikamilifu mtakuja kuona Urusi ilivyo kitu ingine kabisa.
 
Unadhani RTitaikosoa serikali wenyewe ndo serikali
 
Serikali ya Xi ndio inaweza ondoka ila sio CCP. Na ikitokea anaondoka Xi mwaka wowote kabla hajataka, atakuja hardliner na ndio tutajua hatujui. Taiwan wajiandae
Umesema vizuri sana mkuu , Xi Jinping kuondoka anaweza akaondoka maana yeye peke yake sio engine ya CPC walikuwepo wakina Mao, Deng, Jiang, Hu ,Hua , Zhuo wote Hawa wameondoka ila CPC na sera zake hazija badilika kuitoa na kuiangusha CPC hapo utakuwa umeiua hii China yote ya sasa maana engine ya China kila kitu imeshikiliwa na CPC kwa hiyo ni ngumu CPC kuangushwa hapo China mbaya zaidi anaye kuja baada ya Xi atakuwa na sera zenye msimamo mkali zaidi ya Xi au ata legeza mambo tofauti na Xi hapa kila mtu hafahamu .

Wacha tusubiri tuone kinacho kuja kujili.
 
Hasira zanini?
 
Hakuna anayependa kifo; wanajeshi waliouwawa uko vitani wanafukiwa tu kama mnyama; hakuna cha jeneza wala taratibu za mazishi.
 
Putin alivamia nchi ya Ukraine bila ridhaa ya bunge la Urusi leo hii anataka waladhimisha wananchi kujiunga na uvamiz wake , hz ni siasa za afrika ni kituko kufanywa na watu tuliamin wapo smart

Wazungu wa Urusi huwa wako tofauti, tatizo lao ni ujamaa uliwaponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…