Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Kumbe freemason adi wandishi wa habari wanakuwepo? Ivi freemason ni nini hasa?
 
Sirii?? What a Siri?Kwaio unataka kuniambia hizi picha za uyu dogo ni zaidi ya zile video na Documentaries za freemason kule U tube??
Ingekuwa hakuna siri kila mtu angekuwa anajua freemason ni nin, hata wanaotangaza kwene nguzo za umeme kujiunga ukiwauliza masonic ni nini ata awaelewi ni kitu gan
 
Ingekuwa hakuna siri kila mtu angekuwa anajua freemason ni nin, hata wanaotangaza kwene nguzo za umeme kujiunga ukiwauliza masonic ni nini ata awaelewi ni kitu gan
Mkuu hao jamaa sawa wanajitahidi sana kuwa na siri ila mwanadam hutomuweza wapo walio vujisha siri zao na wakaishia kuuwawa so my point is kwa dunia ya sasa hao jamaa wana masnich kibao tu na mambo yanavuja na pia siku iz wamelegeza sana mambo yao ili wapate watu wengi so usishangae baadh ya vitu ukavikuta japo vingi vya kuvuja huwa ni kweli na wanavyo toa wao huwa ni conspirared vinakua visha pikwa vitoke tofaut na ukweliSo kwa ishu ya uyo dogo nna wasiwasi huenda ni nyimbo inapikwa apo amna freemasons wala nn
 
Mfukua makaburi!

Ila hivi hizi fununu za vijiweni dooho amefikia wapi?
 
Back
Top Bottom