Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sioni tatizo kwani yuko theatre kuwa ataua wagonjwa? Si ni usanii huo wa TV. Haina athatri kwa maisha ya watu katuHawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana ni ****** hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekeishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Ulitaka avaajeHawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana ni ****** hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekeishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
watarifanyia=watalifanyiaNatumaini wahusika watarifanyia kazi wakijilizisha kwamba kuna ukweli.
Itakua kakupiga kibuti.
Yani kola kukaa vibaya ni kuvaa hovyo?
Ila ID yako imenipa majibu.