Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Sukari ..sukari zao baya kweli lishawavuruga watu eee hadi Kola tu MTU anazua varangati Na kulimwaga mitandaoni..
 
ungekaa kimya wala wenye akili tusingejua kuwa wewe ni wale waliorudishwa toka UDOM. Yaani huoni tatizo kwa mtangazaji wa TV kuvaa vibaya/hovyo? unasema ni usanii kwenye taarifa ya habari? unajua appearance ya watangazaji wa tv ilivyo muhimu kwa mtazamaji? anyway..nakwambia mambo yaliyo juu sana ya uwezo wako.
Sioni tatizo kwani yuko theatre kuwa ataua wagonjwa? Si ni usanii huo wa TV. Haina athatri kwa maisha ya watu katu
 
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana ni ****** hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Mie ni MAARIFA sasa unakuwaje CHIZI MAARIFA???
 
chizi maarifa ni kuwa nimekuwa chizi kutokana na maarifa. sometime hata watu wanashindwa kunielewa. nina maarifa mengi kiasi kuna vitu naona wenye uelewa wa kawaida hawavioni kama ni shida.

Mkuu umekuwa socrates? maana wagiriki walimuona chizi wakamuua kumbe aliyowaambia yalikuwa sawa kabisa. Haya. nimeelewa.
 
chizi maarifa ni kuwa nimekuwa chizi kutokana na maarifa. sometime hata watu wanashindwa kunielewa. nina maarifa mengi kiasi kuna vitu naona wenye uelewa wa kawaida hawavioni kama ni shida.
Sio kwa hiki, ni kitu kidogo sana katika ulimwengu wa maarifa Duniani ndugu.
 
jamani naona tuendelee kuona mavazi ya mtangazaji wa luninga , hapa nilikuwa namchokoza rafiki na wajina wangu CHIZI MAARIFA. sio chizi.
 
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana ni ****** hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Kaamka nazo huyu si bure ...
 
ungekaa kimya wala wenye akili tusingejua kuwa wewe ni wale waliorudishwa toka udom. division 4 aka 5. yaani huoni tatizo kwa mtangazaji wa TV kuvaa vibaya/hovyo? unasema ni usanii kwenye taarifa ya habari? maishani mwako nini kimewah kuwa serious ndugu yangu? unajua appearance ya watangazaji wa tv ilivyo muhimu kwa mtazamaji? anyway..nakwambia mambo yaliyo juu sana ya uwezo wako. we baki tu kuwa shabiki vibama. hilo ndo uliwezalo mambo ya kutumia akili hukuzoea. sasa umeanza mchakato gan baada ya kurudishwa toka udom? nenda karudie mitiha ii ndugu yangu.

Mkuu kwani we umesoma wapi mbona unakandia sana wa UDOM??
 
wengi mnachangia kwa sababu wengine ni ushabiki au itikadi. kama mngekuwa mnasoma soma angalau kidogo mngejua umuhimu wa mavazi kwenye watangazaji wa tv au umuhimu wa mwonekano kwa watangazaji wa TV
 
shida kubwa za watu wengi wanaweka hisia zao kwenye mambo ya msingi. kwa waliosoma mambo ya utangazaji wanaelewa umuhimu wa appearance kwenye TV na Impacts zake. mtu anaweza kukudharau kwa mwonekano wako tu. then ukapata shida sana kumshawishi kuwa haupo vile anavyokuona. unakuja kukaa mbele za watu kwenye TV kusoma habari unavaa hovyo like that. kwa mwenye upeo mdogo haoni kama ni tatizo kwa sababu watu hawajui maana ya kuwa smart. na trust me smartness wakati mwingine ina uhusiano mkubwa sana na appearance. alipaswa huyu dada aangaliwe vizuri kabla hajaenda kukaa mbele ya cameras. ni vizuri hawa watu wakakaguliwa. ninyi hamwoni wenzetu wanavyofanya?
2. kwa wale wenye fikra za kimaskini wameenda mbali zaidi kufikiria kuwa nina jambo naye. bahati mbaya namheshimu simfaham na wala si aina ya watu wangu wa kunivutia. kila mtu ana choice yake. but akiwa kama dada yangu nadhani anapaswa sana kuwa makini. kama naye yupo humo au ana ndugu,jamaa na marafiki ukiacha wapambe na mashabiki zake ni vyema kumwambia jambo hili.
3. anayesema kuwa ni design ya hiyo nguo amwogope Mungu wake kama anaye. kama amefunga nadhani sasa akale tu maana ameshafungua. na kama si mfungaji basi atubu dhambi hii ya uongo si vizuri.imeandikwa usiseme uongo. tena kumshuhudia uongo dada wa watu hata yeye sidhan kama atapenda
4. anayesema eti kutojua siasa au michezo si kigezo anaonekana ni ****** sana. utaendaje kujadili kitu usichokijua? then hawa ndo watu ambao mh rais anasema walijazana sana kwenye vyuo miaka hii iliyopita. moja ya kazi kubwa alizoachiwa ni kizazi cha ******.
Umetumia nguvu nyingi sana, hili ni taifa la veelazor sijui kama kuna atakayekuelewa....naamini wachache tutakuelewa
 
Sasa nimeamini kuwa kweli unatumia TV LED nimeona ilivyoslim so usizugie kuhusu dada WA watu labda Feni limepeperusha kola
 
Back
Top Bottom