Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #41
Umetumia nguvu nyingi sana, hili ni taifa la veelazor sijui kama kuna atakayekuelewa....naamini wachache tutakuelewa
Acha uchizi wako ,nitakugeuza sasa ,endelea uone pumbavu
mkuu upo sahihi maana mi kuona picha tu nimejiskia uncomfortable natamani nimwambiee aweke vizuri,sipati picha wewe uliyetizama habari kabisawengi mnachangia kwa sababu ya umaamuma na wengine ni ushabiki au itikadi. kama mngekuwa mnasoma soma angalau kidogo mngejua umuhimu wa mavazi kwenye watangazaji wa tv au umuhimu wa mwonekano kwa watangazaji wa TV but kwa kuwa tayari tuna taifa la ****** ni ngumu kuelewa.
yaaani hapo ndo umewaza sana? ndo maana rais anapiga vita sana ukilaza. kwa hili sasa namuunga mkono. miafrika inapoteza nguvu nyingi to think abt sex than work.
Kwenye mkasi tom boy aliulizwa jina la bendera ya taifa ya tanzania akajamba,masoud akamwambia hivyo ndo watangazaji wa kibongo mlivyo yani weupe halafu mnajitia kujua kumbe masambinyigwa tu mfano dida anatangaza au anapiga mayowe,tom boi akawa mpole.ungekaa kimya wala wenye akili tusingejua kuwa wewe ni wale waliorudishwa toka udom. division 4 aka 5. yaani huoni tatizo kwa mtangazaji wa TV kuvaa vibaya/hovyo? unasema ni usanii kwenye taarifa ya habari? maishani mwako nini kimewah kuwa serious ndugu yangu? unajua appearance ya watangazaji wa tv ilivyo muhimu kwa mtazamaji? anyway..nakwambia mambo yaliyo juu sana ya uwezo wako. we baki tu kuwa shabiki vibama. hilo ndo uliwezalo mambo ya kutumia akili hukuzoea. sasa umeanza mchakato gan baada ya kurudishwa toka udom? nenda karudie mitiha ii ndugu yangu.
Kwenye mkasi tom boy aliulizwa jina la bendera ya taifa ya tanzania akajamba,masoud akamwambia hivyo ndo watangazaji wa kibongo mlivyo yani weupe halafu mnajitia kujua kumbe masambinyigwa tu mfano dida anatangaza au anapiga mayowe,tom boi akawa mpole.
Kwenye mkasi tom boy aliulizwa jina la bendera ya taifa ya tanzania akajamba,masoud akamwambia hivyo ndo watangazaji wa kibongo mlivyo yani weupe halafu mnajitia kujua kumbe masambinyigwa tu mfano dida anatangaza au anapiga mayowe,tom boi akawa mpole.
We andika mkasi masoud utaona jando alilopelekwa tom boy na mtangazaji anayejielewa aka masoud masoudmkuu @bombei safaya nisaidie nipate hiyo clip tafadhari inahusika sana. ni episode ya ngapi ya mikasi maana nimeona kuna episodes.
Tom boi kaitoi mana alikuwa anahojiwa yeye badala ya mgeni kaicha ya masoud panya, alimtajia bendera za nchi kama tatu kama sijakosea uk,usa na japan akamtia swali kusu bendera yetu vile vidada vya pembeni vikawa vipole kama havipo nkaona kumbe mmewazoea wakina mtambo luangwa chid benz leo mtu kala simba habari ya kusisimua zaidmkuu @bombei safaya nisaidie nipate hiyo clip tafadhari inahusika sana. ni episode ya ngapi ya mikasi maana nimeona kuna episodes.
We andika mkasi masoud utaona jando alilopelekwa tom boy na mtangazaji anayejielewa aka masoud masoud
Panya sio ndio wareware wakupanda bure daladala la mwananyamala atajua wapi mambo ya hinomaru mcheki salama unyago aloupata hiyo day mixer alitajiwa msanii wa kumshabikia akaambiwa asikurupuke kwa kuwa hata wauza madawa wanamek moneyni mtu mzima masoud masoud? nlidhan masoud kipanya
Panya sio ndio wareware wakupanda bure daladala la mwananyamala atajua wapi mambo ya hinomaru mcheki salama unyago aloupata hiyo day mixer alitajiwa msanii wa kumshabikia akaambiwa asikurupuke kwa kuwa hata wauza madawa wanamek money
SO7eo6 jaribu hio code mana naona ndio walivyozitofautisha vipindisijafanikiwa kupata kama una link please nisaidie hapa. nakuta clips za masud kipanya na tom boy.
Kalili jina la mleta mada...Nikajua kavaa nusu uchi