as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
Yani kola kukaa vibaya ni kuvaa hovyo?
Ila ID yako imenipa majibu.
hahaha.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kola kukaa vibaya ni kuvaa hovyo?
Ila ID yako imenipa majibu.
KUna wanaume wambeya sana, sasa sijui anataka dada watu afukuzwe kazi. Sijui yeye atafaidika na nini hapo.Acha Kisabengo!
Umeelewa lakini nilichoandika?
Ukisoma "kifalsafa" mtiririko wa bandiko langu utagundua kuwa binafsi sina neno na jina lako bali ilikuwa ni satire/parody/irony kwa waliojikita katika hilo. Soma tena. Ndiyo maana nikasema katika aya ya kwanza "kibinadamu".. kuashiria udhaifu/bias ya binadamu. Inaingia akilini kweli niseme "kibinadamu" tena kwa bold iliyo kwenye quotation marks halafu bado nirudie kosa hilohilo (la bias za majina) nikiwa conscious kabisa? Kirahisi hivyo?
Aya ya pili ya nilichoandika nimesema...... "kijikosa" kidogo........"kivile". Aya hii inaonesha nakulaumu, je mazungumzo yaliyofuatia unaona yanaendana na "lawama" hiyo? Tazama mgongano wa aya hiyo ya pili (ambayo nakulaumu wewe) na aya ya tano nawalaumu wanaokulaumu.. je, mimi nasimamia wapi? Au unaona naji-contradict?
Aaah, Umeniangusha kiongozi!!!
BTW. Nitaomba ruhusa ya kuitumia kauli yako fulani uliyotoa katika bandiko la nyuma, labda baada ya mwaka hivi, kwa kazi ya sanaa.
Hii ya watangazaj kutojua mambo ya msingi yanayowazungua imejadiliwa sana hapa JF. Ni matokeo ya vijana kushinda na headphones kutwa kucha wakiskiza miziki. Hawajui lolote zaid ya mizik na umbea wa nani anatembea na nani
...... Ni kauli gani uliyopenda kuyatumie kwenye sanaa?
Nyie ndiyo mnasababisha taifa lionekane lina................. kumbe wengine ni.............................
Kazi za kiundugu hizo ndio madhara yakeView attachment 356111
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
???? Una elimu ganiMbona hata ss wanaume tunajisahau kufunga zipu,mbona ni tatizo dogo tu hilo,hunaikuza kama nini .acha umbea ww
???? Una elimu gani
???? Una elimu gani
Ndugu yako hajui maana ya presentationndugu mbona unamuuliza mwenzio swali gumu sana? unamuuliza swali la kufikirisha namna hiyo unamtakia stroke ya ubongo? mwache tu a relax ndo kizazi hiki kengeufu cha bongo flavor. kichwan hamna kitu.
MmmmhView attachment 356111
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Baada ya bandiko hili,niliamua kumfuatilia huyu binti kwa siku kadhaa mfululizo katika kipindi cha "Morning Trumpet"(?) cha Azam Tv.
Huwa wapo katika kipindi hiki na Mzee fulani wa Makamo,mwenye hekima na nadhifu katika maswala ya habari na mawasiliano.Namfananisha na Mzee Angalieni Mpenda.
Mimi sikutaka kuangalia mavazi,ila umakini na ufahamu wa vitu,leo pia nimegundua binti hana ufahamu sana wa mambo na hajipi muda wa kutafiti...Leo walikuwa wanazungumzia uhaba wa ardhi unavyoleta mgogoro,mtangazaji mwenzake akamwambia Tz hatuna bado migogoro mikubwa kama nchi jirani ya Kenya.Yeye akadakia akasema hata Uganda pia kuna migogoro mikubwa ya ardhi
Bahati mbaya katika kusimamia hoja yake ya kusema Uganda kuna migogoro,akawa anaongolea mgogoro wa ardhi wa mlima Elgon ambao upo Kenya na si Uganda...Na mambo kadha wa kadha ambayo yule mtangazaji mwenzake akawa anazuga zuga lkn akijuwa kuwa Co-Host amekengeuka.Ni kweli huyu binti wangemuacha tu kwenye kile kipindi cha mambo ya Urembo,huku kwenye "Hard News" na udadisi wa habari za magazetini za Kitaifa na kimataifa anapwaya.
Hakuna chuki binafsi,penye ukweli wacha tuseme