Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Masista duu wananiacha hoi sana,sasa huyu unakuta alishindwa kutenga jambo dkk5 kukagua nguo sake lkn unakuta alitenga muda mwingi usiopimika kukandika mavumbi usoni mwake.
 
Hii ya watangazaj kutojua mambo ya msingi yanayowazungua imejadiliwa sana hapa JF. Ni matokeo ya vijana kushinda na headphones kutwa kucha wakiskiza miziki. Hawajui lolote zaid ya mizik na umbea wa nani anatembea na nani
 
Mlikuwa naye kwenye interview ya hiyo nafasi ya utangazaji matokeo yake yeye akachukuliwa wewe ukakosa ajira ndio maana unamchukia au!?
 
Nafurah ninapogundua kuwa bado kuna watu wanatumia akili zao kufikiri. kuna ambao walishaamua kuweka akili kwenye shimo na kuzifukia huko. so nashukuru kuwa u mmoja ya watu ambao akili zao si mpya.VIJANA WENGI WA SASA WANA AKILI MPYA KABISA. Never used at all. usijali karibu sana nadhan tutazidi kuwasiliana. Ni kauli gani uliyopenda kuyatumie kwenye sanaa?

Umeelewa lakini nilichoandika?

Ukisoma "kifalsafa" mtiririko wa bandiko langu utagundua kuwa binafsi sina neno na jina lako bali ilikuwa ni satire/parody/irony kwa waliojikita katika hilo. Soma tena. Ndiyo maana nikasema katika aya ya kwanza "kibinadamu".. kuashiria udhaifu/bias ya binadamu. Inaingia akilini kweli niseme "kibinadamu" tena kwa bold iliyo kwenye quotation marks halafu bado nirudie kosa hilohilo (la bias za majina) nikiwa conscious kabisa? Kirahisi hivyo?

Aya ya pili ya nilichoandika nimesema...... "kijikosa" kidogo........"kivile". Aya hii inaonesha nakulaumu, je mazungumzo yaliyofuatia unaona yanaendana na "lawama" hiyo? Tazama mgongano wa aya hiyo ya pili (ambayo nakulaumu wewe) na aya ya tano nawalaumu wanaokulaumu.. je, mimi nasimamia wapi? Au unaona naji-contradict?

Aaah, Umeniangusha kiongozi!!!

BTW. Nitaomba ruhusa ya kuitumia kauli yako fulani uliyotoa katika bandiko la nyuma, labda baada ya mwaka hivi, kwa kazi ya sanaa.
 
unachosema ni kweli tuna kizazi ambacho hakisomi hakijifunzi...ni muziki na habari zisizo na maana za msanii gani anatembea na nani au anafanya nini. vilaza kila sehemu

Hii ya watangazaj kutojua mambo ya msingi yanayowazungua imejadiliwa sana hapa JF. Ni matokeo ya vijana kushinda na headphones kutwa kucha wakiskiza miziki. Hawajui lolote zaid ya mizik na umbea wa nani anatembea na nani
 
Karibu sana. Unapoongelea sanaa. Usichoke kunishirikisha kuisadia jamii hii iliyosusa kufikiri kabisa na kuamua kupumzisha akili zao.

Nyie ndiyo mnasababisha taifa lionekane lina................. kumbe wengine ni.............................
 
View attachment 356111

Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Kazi za kiundugu hizo ndio madhara yake
 
ndugu mbona unamuuliza mwenzio swali gumu sana? unamuuliza swali la kufikirisha namna hiyo unamtakia stroke ya ubongo? mwache tu a relax ndo kizazi hiki kengeufu cha bongo flavor. kichwan hamna kitu.

???? Una elimu gani
 
ndugu mbona unamuuliza mwenzio swali gumu sana? unamuuliza swali la kufikirisha namna hiyo unamtakia stroke ya ubongo? mwache tu a relax ndo kizazi hiki kengeufu cha bongo flavor. kichwan hamna kitu.
Ndugu yako hajui maana ya presentation
 
View attachment 356111

Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Mmmmh
 
Baada ya bandiko hili,niliamua kumfuatilia huyu binti kwa siku kadhaa mfululizo katika kipindi cha "Morning Trumpet"(?) cha Azam Tv.
Huwa wapo katika kipindi hiki na Mzee fulani wa Makamo,mwenye hekima na nadhifu katika maswala ya habari na mawasiliano.Namfananisha na Mzee Angalieni Mpenda.
Mimi sikutaka kuangalia mavazi,ila umakini na ufahamu wa vitu,leo pia nimegundua binti hana ufahamu sana wa mambo na hajipi muda wa kutafiti...Leo walikuwa wanazungumzia uhaba wa ardhi unavyoleta mgogoro,mtangazaji mwenzake akamwambia Tz hatuna bado migogoro mikubwa kama nchi jirani ya Kenya.Yeye akadakia akasema hata Uganda pia kuna migogoro mikubwa ya ardhi

Bahati mbaya katika kusimamia hoja yake ya kusema Uganda kuna migogoro,akawa anaongolea mgogoro wa ardhi wa mlima Elgon ambao upo Kenya na si Uganda...Na mambo kadha wa kadha ambayo yule mtangazaji mwenzake akawa anazuga zuga lkn akijuwa kuwa Co-Host amekengeuka.Ni kweli huyu binti wangemuacha tu kwenye kile kipindi cha mambo ya Urembo,huku kwenye "Hard News" na udadisi wa habari za magazetini za Kitaifa na kimataifa anapwaya.

Hakuna chuki binafsi,penye ukweli wacha tuseme
 
Nafurah kusoma kuna watanzania wachache wanaelewa lugha ninayozungumza. Umeenda mbali zaidi kufatilia hili jambo uone kuwa haonew. Kiukwel bint ni mwepesi sana. Yule mzee kweli ni mzee aina ya samando hassan. Ni mwenye hekima na mpole pia.

Bint wamtafutie vipind lain na vyepes. Majadiliano au uchambuz unataka mtu anayejishughulisha kusoma,mwenye upeo wa juu n.k otherwise nlishaur awe anapewa mada mapema azifanyie home work before. Tunamsahihisha kwa nia njema kabisa ila waswahili kama kawaida wanaleta hisia and they dont bother to look for the truth. Mi nafurah na nakupongeza sana kwa kufanya mambo kisoma

Back
Top Bottom