Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

kwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah.

Ila walimnyoa kweli nywele za kuzaliwa nazo huyu,au wameunganisha tu na hizo singasinga alizozaliwa nazo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa anafuata nyendo za baba yake kuzaa hovyo ila ajitahid asiwatupe
Mimi hata sishangai, ila kinachonisikitisha ni yeye mwenyewe pamoja na familia yake nzima kujivunia kabisa UFUSKA wa kijana wao. Uzinzi wengi tunafanya ila mpaka anaona UFAHARI kabisa na familia yake inaona poa, basi ni BALAA. Na inavyopenda DRAMA hiyo familia basi imekuwa balaa
 
Huyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
hivi kwa nini haoi mtu unampenda mama wa watoto wako hadi anataka kutembelea magoti lkn ndoa hakuna.

wote waislamu tena shughuli za kiislam wamezifanya nyingi tu pale madale........lkn shughuli ya ndoa inashindikana
 
kwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah
Ha ha ha. Kaaazi kweli kweli!! Kwa madai yao hakuna haja ya kipimo cha DNA
 


Kama yule wa South hajawahi funga ule mdomo wake nadhani ni mkubwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…