Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh oo oo!!!Katoto kazur mno..ila ndo kameshabebeshwa roho ya kukataliwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah.
Ila walimnyoa kweli nywele za kuzaliwa nazo huyu,au wameunganisha tu na hizo singasinga alizozaliwa nazo!
Mimi hata sishangai, ila kinachonisikitisha ni yeye mwenyewe pamoja na familia yake nzima kujivunia kabisa UFUSKA wa kijana wao. Uzinzi wengi tunafanya ila mpaka anaona UFAHARI kabisa na familia yake inaona poa, basi ni BALAA. Na inavyopenda DRAMA hiyo familia basi imekuwa balaaJamaa anafuata nyendo za baba yake kuzaa hovyo ila ajitahid asiwatupe
hivi kwa nini haoi mtu unampenda mama wa watoto wako hadi anataka kutembelea magoti lkn ndoa hakuna.Huyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
Umenena ukweli bi hajati GeniverosHuyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
[emoji2] [emoji2] sio hajjat bwana ila tunaambiwa tukumbushe kwani ukumbusho hupatikana manufaaUmenena ukweli bi hajati Geniveros
Ha ha ha. Kaaazi kweli kweli!! Kwa madai yao hakuna haja ya kipimo cha DNAkwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah
kwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah.
Ila walimnyoa kweli nywele za kuzaliwa nazo huyu,au wameunganisha tu na hizo singasinga alizozaliwa nazo!
Tiffa au yule wa ivan?Kama yule wa South hajawahi funga ule mdomo wake nadhani ni mkubwa tuu