MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
ha ha ha ha naona aisee
Ila mwenzangu umekaa kilokole mno aisee!
hahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha naona aisee
hahaha kumbe itabidi aisee nianze kwenda kanisani niudhurie ful time...asante kwa kunitabiria mema!Ila mwenzangu umekaa kilokole mno aisee!
hahahaha!
Wewe mbona umefanana na muuzi chipsi wa hapo mtaani kwenu na hatusemiWekeni na picha za watoto zenu tulinganishe kama hawajafanana na Mangi mwenye kibanda cha chips.
hahaha kumbe itabidi aisee nianze kwenda kanisani niudhurie ful time...asante kwa kunitabiria mema!
hahahhahah njoo leo hautaki mkeka kijana..nipe wako kabla hawajatimba wale wazee wa majungu.Juzi nililiwa 20k.Wewe mbona umefanana na muuzi chipsi wa hapo mtaani kwenu na hatusemi
Yes i am, sema nahisi sikuhizi nimekengeuka shetani ananipitia kila mda! ngoja nitaanza kumkataa!Mimi nilihisi wewe ni mlokole!
Sevila winhahahhahah njoo leo hautaki mkeka kijana..nipe wako kabla hawajatimba wale wazee wa majungu.Juzi nililiwa 20k.
hao wadada ni mitambo ya kuzalisha watoto hakuna wakuolewa hapoHuyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
Mtoe Real Madrid atakuchania mkeka kama mie PSG alivyonifanya nikakosa kale kamilion[emoji35] zingine zipo sawa na mieSevila win
Man city win
Monaco over
Real Madrid over
Liverpool win
Weka mzigo hapo
Oxford united win
Portsmouth win
Wycombe win
Tottenham win
Jilipue alfu na Mimi nipe nitembelee nyota
Sijampa direct nimempa over yapatikane magori kuanzia matatu kwenye mechi yaoMtoe Real Madrid atakuchania mkeka kama mie PSG alivyonifanya nikakosa kale kamilion[emoji35] zingine zipo sawa na mie
Yes i am, sema nahisi sikuhizi nimekengeuka shetani ananipitia kila mda! ngoja nitaanza kumkataa!
Mie nimelelewa kwenye dini,nanajua lipi baya lipi zuri....sema tu ujana unanisumbua hahahahah
hahah sawa ila leo sieki stake kubwaa nafidia maumivu ya juzi...ohooooo nawe ukipata unigaie...Sijampa direct nimempa over yapatikane magori kuanzia matatu kwenye mechi yao
Sema ukipiga tukumbukane hata hela ya soup[emoji23]
vipi huu mkekaSevila win
Man city win
Monaco over
Real Madrid over
Liverpool win
Weka mzigo hapo
Oxford united win
Portsmouth win
Wycombe win
Tottenham win
Jilipue alfu na Mimi nipe nitembelee nyota
Usiwaze kabsa issue zikikubali lazima ufurahihahah sawa ila leo sieki stake kubwaa nafidia maumivu ya juzi...ohooooo nawe ukipata unigaie...
Upo vizuri mkuu labda uyo wa Brazili azingue ili akikubali itabidi nipate hata balimi 1vipi huu mkeka
Sevilla vs Maribor 2145hrs
UEFA Europa Champions League Group E
# 1
Manchester City vs Shakhter Donetsk 2145hrs
UEFA Europa Champions League Group F
# 1
Wigan vs Plymouth 2145hrs
England League 1
# 1
APOEL vs Tottenham 2145hrs
UEFA Europa Champions League Group H
# 2
Napoli vs Feyenoord 2145hrs
UEFA Europa Champions League Group F
# 1
Bristol City vs Bolton 2145hrs
England Championship
# 1
Spartak Moscow vs Liverpool 2145hrs
UEFA Europa Champions League Group E
# 2
Wycombe vs Crewe 2145hrs
England League 2
# 1
Parana vs Nautico Recife 0230hrs
Brazil Serie B
# 1
Fungu la kumi siachi maana ni ULINZI wangu tena natoa ndefu miez mingine huaga naskip ila nikiwa vema narudisha kiroho safi...Ebwanaa eeh!
Bosi na wewe unatoa mafungu ya kumi na ubatizo wa maji mengi???
Hongera sana aissee!!!
Fungu la kumi siachi maana ni ULINZI wangu tena natoa ndefu miez mingine huaga naskip ila nikiwa vema narudisha kiroho safi...
Maji mengi bado mie nilibatizwa kilutheri!
ohooo sijajaliwa sauti,maana unajua kuimba kipaji,sichelewi kuwafanya watu wakasinzia! upako wa bwana ukakimbia.Hahaha!
Hongera bwana bosi bado kuimba Praise and worship!
ohooo sijajaliwa sauti,maana unajua kuimba kipaji,sichelewi kuwafanya watu wakasinzia! upako wa bwana ukakimbia.