Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

Status
Not open for further replies.
Mh anatisha, na anaonekana anajiona mshindi kwa Kile alichokifanya, maana Hilo batasam mh!
 
kwakua sheria ya ugaidi inatambua ndevu kama ishara ya ugaidi, huyu
jamaa kwa mujibu wa hiyo sheria tayari ni gaidi, watuhumiwa wote wa ugaidi ambao wamewahi kukamatwa na kufikishwa mahakamani duniani kote huwa wanatabasamu na hii ni kwa sababu huwa hawajutii waliyafanya, kama mnavyoona picha ya hujamaa anavyotabasamu. lkn kuhusu mauaji ya padri tuaichie mahakama ifanye kazi yake ukweli utajulikana.

Kati ya wachangiaji woooooote, wewe ndo umenena. wenzio wote wana-rely on the drawing published by FBI. Wanaamini muuaji aliyemuua padri mushi ndo huyo.....Tujiulize inawezekana ama haiwezekani? Jibu ni gumu......Lakini inasemekana muuaji alikuwa kapanda pikipiki kisha akamfyatulia risasi Padri. Ina maana jamaa alimuua mwenyewe kwa mikono yake!!!!! Hakutuma mtu (watu)? Yote inawezekana........Ah, wacha tuiachie mahakama.
 
Inapokuwa mkristo kama LWAKATARE kakamatwa mnapinga kuwa ni mambo ya kisiasa, akikamatwa Mwislamu haraka mnasema ni siasa.

Usifananishe kesi ya Rwakatare na hii wewe.....Kwani Rwakatare alimuua nani???
 
kwakua sheria ya ugaidi inatambua ndevu kama ishara ya ugaidi, huyu
jamaa kwa mujibu wa hiyo sheria tayari ni gaidi, watuhumiwa wote wa ugaidi ambao wamewahi kukamatwa na kufikishwa mahakamani duniani kote huwa wanatabasamu na hii ni kwa sababu huwa hawajutii waliyafanya, kama mnavyoona picha ya hujamaa anavyotabasamu. lkn kuhusu mauaji ya padri tuaichie mahakama ifanye kazi yake ukweli utajulikana.

Unataka kutumia technique ya kumchomoa Rwakatare kwa kuwa hana ndevu???? Hachomoki kama kweli amefanya kosa la ugaidi.....
 
Muuaji anayeua taifa la Mungu aliye hai!!

Mungu siku zote ni hai wewe..... Tangu lini ulishasikia Mungu amekufa??? Na akifa roho yake inakwenda wapi? Tumieni maandiko vizuri si mnakurupuka kuweka vibwagizo mkidhani mnapendezesha maandiko kumbe mnaharibu. Mungu aliye hai maana yake nini? Unaleta maneno ya kuokotezea sadaka hapa.... Shut up!!!!!
 
kwanini FBI wamchore yeye?? kati ya mamilioni ya watu wote tanganyika na zanzibar?? kwanini yeye??? halafu sasa sio yeye?? kuna nini hapa?

Sio, walitulisha sumu, Kuna mwana JF alipendekeza hicho kikaragosi watuwekee picha ya mshikaji tulinganishe wenyewe. Kichunguze halafu mcheki na mshikaji hiyo ni sumu tu. Nilichoweza kubaini haraka ni kuwa uso wa kikaragosi ni mpana kuliko uhalisia na urefu wa kidevu - utosi ni mfupi mbali.
 
Naona dpp na polisi wamegeuka mawakili wake wanamtetea

DPP ameona hakuna kesi...polisi znz wanafanya kazi ya chama wanakubali kijinga kutumiwa...tulisema hapa huyu jamaa ni kafara....DPP ameangalia faili na ameona madudu..ni vigumu kwa wao kusendesha kesi hio
lakini polisi wamesema wanakwenda mbele sasa tuone mwishi wake wa movie hii
 

ni kwanini anatabasamu hivyo? Na alikuwa jela? Ukama nimeonewa kuwekwa jela kweli machozi yangekuwa yananibubujika; au ni vingine? Scary!!!

uliataka alie? Mwanaume hatoi chozi wewe. Kama chi vile
 
hao bwana ndio itikadi kali.Kama sikosei huyo jamaa alihukumiwa kifo lakini alitoka mahakamani hivyohivyo anacheka.



hawa kwa pamoja....wameua na kufurahia mauaji zaidi ya viumbe million 70 !!! haijawahi kutokea .....ni mauaji makubwa yamefanya na watu hawa kwa pamoja unaona salute za nazi kwa mapadre na papa mwenyewe...kama kuua nadhani kombe mnalo nynyi....




nazi boys na hitler salute
images


papa nuancio .with hitler....giving him go ahead to slaughter jews kwa sababu 'jews ndo waliomua yesu'
 
Wa2wengine bana yani ubaguz wao hauna hata tija
 
Unamtetea huyo alqaeda/uamsho/bokoharam/alshabab? Kwa hili utaniita upendavyo nawe ila tungepewa rukhsa tukamtawanya tu na kaburi lake lisijulikane

Hebu nenda katafute picha ile ya panda za mti !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom