Picha: Muna love akiwa na Zari...

Picha: Muna love akiwa na Zari...

Nini miaka 6, tatizo lije Dinazarde alale makaburini miez minne apate billionare , warumi mie kila siku usiku naoga njia panda na kupasua nazi naishia kutongozwa na waendesha boda pale element[emoji23][emoji23], lazima nimchenjie dinazrde kaniibia nyota yangu

Mi nasemaga raha ya kuroga karoge mwenyewe, haya mambo ya kuroga na my bff, Sijui nani siku mmoja akifanikiwa kuliko mwingine lazima siri zitoke nje
😂😂😂😂 bina tukaroge basi
 
Wangari Maathai , cocastic , financial services, Saint Anne na wengineo

Nani yupo tayari nasi tuunde crew ya kulala makaburini tuolewe na mamilionea[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Uchawi una wenyewe huu, unaweza lala makaburini miaka kenda na usifanikiwe, ila kikubwa ni kunuia mbna simple tyuuh.
cc amu aunt unasemaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini miaka 6, tatizo lije Dinazarde alale makaburini miez minne apate billionare , warumi mie kila siku usiku naoga njia panda na kupasua nazi naishia kutongozwa na waendesha boda pale element[emoji23][emoji23], lazima nimchenjie dinazrde kaniibia nyota yangu

Mi nasemaga raha ya kuroga karoge mwenyewe, haya mambo ya kuroga na my bff, Sijui nani siku mmoja akifanikiwa kuliko mwingine lazima siri zitoke nje
Na ndo inavokuaga hivi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom