Picha: Muna love akiwa na Zari...

Picha: Muna love akiwa na Zari...

Kwani washagombana!???
Last week kili alimuanika odemba mhh..ila amefuta nw...chanzo odemba anamuonea wivu kili.anamsema jwa watu amenchukulia nyota hana mabwana wa maana..na mambo ua ushirikina...yaan aibu ukisoma
 
Juhudi za kujiuliza nina mali kiasi gani ziweke kwenye kutafuta mali zako

Kama nakuboa kindly ignore me
Hiyo option ipo humu JF
Asante
Ila unaboa uambiwe ukweli kila mtu unamfuatilia kama hao ni watoto wako vile anzisha familia uwafuatilie mtu unakuta anahangaika na maisha yake unamfuatilia sana kama hii jamii forum ni yakwenu au ya babaako .
Nitaku block kweli kwa maana unakera ndio maana nilikuambia na sintonyamaza kama ukiingilia maisha ya mtu bila sababu yamsingi
 
Kwa hiyo maisha yangu ni yako ndio maana unayafuatilia 🙄

Niblock kweli
 
Kwa hiyo maisha yangu ni yako ndio maana unayafuatilia 🙄

Niblock kweli
Wewe ndio nakukeraga sana halafu wewe ndio unanifuatiliaga sio mim aisee wala sikujuagi na wala sinaga mpango na wewe kabisa acha kufuatilia watu.
 
Nilichoshuhudia kwenye huu uzi

Wanatuita watoto wa wanawake wenzao madanga

Na tushakuwa sources of money kama vile job yaan sisi ndio ticketi ya maisha yao mazuri [emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo form 4 failure umempendelea,huyo ni la Saba bwana, according to maelezo ya familia yake, hakuwah kwenda secondary maisha yake
 
Back
Top Bottom