chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
huyu ni mdogo wake na malkia elizabeth. nimeamini binadamu wote ni sawa.
Hahaaaaaaaa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni mdogo wake na malkia elizabeth. nimeamini binadamu wote ni sawa.
AnatelezaaaHongera. Naona unatumia WiFi na upo kwenye mtandao wa Badoo.
Party ya nini? Sipo insta kwa sasa please nijulishe mzurimieKapendeza na party ilipendeza, nilipenda wao kutosahau walipotoka si kwa zile dansi n.k.
Nshawahi mkuuAmeolewa,kama yumo humu namuomba aje pm
Inawezekana umri wako umepita, mama anapenda spring chickens.Nshawahi mkuu
32,ulizia kbs anataka mzee mwenzake au?Inawezekana umri wako umepita, mama anapenda spring chickens.
Kwa test za mama wewe ni retired age.32,ulizia kbs anataka mzee mwenzake au?
Umetumwa kunikatisha tamaa wewe,ngashtukaa.....,acha nijaribu bahatiKwa test za mama wewe ni retired age.
Haha! Observant!Hongera. Naona unatumia WiFi na upo kwenye mtandao wa Badoo.
Hahahaha! Lazima uangalie kwa jicho LA tatu.Haha! Observant!