PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

Kijana alijitahidi kuchagua mali nzuri kwa nje mengine ya ndani tumuachie mwenyewe ...ila kwa hili nampongeza chuma kikali kusumbulia barabarani....

Binafsi kama show hakuna hata uwe mzuri vipi hunifai...me napenda wale wadandia miti kama ngedere vile basi burudani mpaka unasahau kama kuna kufa ila wengi wa namna hii story za isidingo tu kunako mtanange....
 
Dada Mungu amekuepusha na laana tena laana ya Kizazi chako hebu fikiria ungezaa na Sabaya mtoto aitwe Meluneki Sabaya...Jina ambalo watu wanaliona kama katiri hatari na baya zaidi..Watoto wako wangesumbuka sana maishani kwao..

Piga magoti mshukuru Mungu lakini na wewe ulikuaje na mchumba katiri kama Sabaya?
 
Back
Top Bottom