Waragah
Member
- Jul 14, 2021
- 26
- 16
Yaani utajua kuwa hujui !!!
huyu kiumbe ndo atakae mpeleka jela mazima mheshimiwa sana..
Kwasasa sabaya amepumzishwa tu.. hatamaliza kifungo tajwa.
Ila atakapo kuwa huru ndipo atafungwa maisha baada ya kuona kipenzi chake kimetwaliwa ndipo atafanya la kufanya na hapo ndo atakapo fungwa kiukwel ukwel...