PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

Hata wewe kwa pisi hiyo. Lazma ungeomba upewe msamaha na huruma ya Mungu. Unaachaje pwerere kama hiyo mazafanta.
Kitu kinaruruka kabisa kitu pyaaaa…
Ila huyu mwanamke ndio maana mkuu wa wilaya ilibidi apambane kuwa na mabilioni. Kasababisha mengi sana huyu dada. Mateso ya wananchi
 
Figure ya kinyarwanda hiyo. Sema Sabaya siyo jambazi, ni matumizi mabaya ya madaraka.

Hamna namna wajitokeze wawekezaji wengine. Ila sijui kama watamweza. Maana Sabaya inaonekana alipendwa kwa sababu ya madaraka yake na pesa pia.
Ref kuna taarifa Sabaya alikutwa na 3bln nyumbani. Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema.

Maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom