PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

Nimeiona tweet yake anasema ati ajitunze amsubiri mpaka atakapotoka 😆😆

Jamani mwenye namba niko tayari kwa bei yoyote nikapumzike nae huko Jambiani.
 
Alivyomshenzi unaweza kuta kampokonya mtu kwa vitisho au nguvu
 
Huyo ndiye aliyekuwa anamfanya awe mwizi na jambazi ili apate fedha za kumfurahisha sio!
 
Nawakumbusha tu ,Kesi ya leo ni ya Ujambazi wa kutumia Silaha bado kesi nyingine inakuja tarehe 18 Oct ya Uhujumu uchumi na Utakatishaji Fedha.
Hakuna hukumu kubwa zaidi ya sate years Mkuu kwa kesi zilizobaki labda kufilisiwa tu.

Nawaza tu kwa akili za kilevi.
 
Kumbe kaka alisema anamchumba mahakama imuhurumie? Nikama alivosema ametumwa na wajuu yake
 
Anatoka nchi gani huyu?...Kama namfananisha na msichana fulani hivi...
 

Attachments

  • Screenshot_20211016-095946.jpg
    Screenshot_20211016-095946.jpg
    18.1 KB · Views: 1
Ebanaaaaa ni mrembo hasa. Yule mhuni hakustahili kuwa na binti mrembo hivi. Bora tu mvua zimnyeshee na huyu binti apate mtu wa maana mtu aliyetulia si dhalimu kama yule mhuni.
Tena inafaa apate mtu mwenye maadili kama vile mwalimu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom