PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

Hatari si kwa ulimbwende huu. Ila dunia is not fair oooo
 
Sasa jamaa ananyea ndoo kisongo huyo demu wahuni watamkamua tu..
 
Ebanaaaaa ni mrembo hasa. Yule mhuni hakustahili kuwa na binti mrembo hivi. Bora tu mvua zimnyeshee na huyu binti apate mtu wa maana mtu aliyetulia si dhalimu kama yule mhuni.
BAK we humtaki nikupe konection?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ole wenu nyie mnaotamani mpenzi wa mwenzenu angalieni na nyinyi Ole asije akawagegeda kwa nyuma siku akitoroka gerezani.😃😃😃
 
Back
Top Bottom