Elections 2010 PICHA: Mwanza Yalipuka - Mkutano wa Slaa

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Magomeni, Kirumba .


 
Shukrani mzee kwa picha,maana tulisikia walitimuliwa na police
 
Inaonyesha watu wako makini sana kusikiliza mjadala juu ya ukombozi wao! Hii ni faraja, na hapo tarehe 31 Oktoba, ni muda mwafaka wa kuonyesha hasira zetu dhidi ya utawala dhalimu wa Kiimla wa CCM!
 
Kutokana na picha hii inavyojieleza, jk afunge mizigo. Hata hiyo safari ya kesho haina haja kupoteza pesa za walipa kodi. Wakati wa ukombozi wa Tanzania umewadia, na haturudi nyuma!
 
Naam
Nchi inakubali kwamba MPAKWA mafuta ndiye huyu.

WAKUU tusijisahau.
KURA ZILINDWE tangu sasa.
 
Mbarikiwe wenye kuleta picture na habari. TBC wametuchakachulia. tuisubiri TV ambao ni wazuri kweli.
 
Ooh my Gosh! That Crowd! I have never seen before. Hata Jangwani haifui dafu.
 
Slaa ni moto wa gesi! Tatizo bado mikoa ya kusini Kama ruvuma mtwara na lindi ambako habari hizo hazifiki Keanu radio tv na Internet ni tatizo kubwa
 
Kweli yafariji. umati huu ulitoka majumbani kwa hiyari bila ya kuahidiwa usafiri wala kugawiwa skafu, vitambaa vya kichwani, mashati, khanga wala maji ya acqua - rock ambayo nimeshayasusa tokea nilipogawiwa katika moja ya mikutano yakiwana nembo ya CCM, picha ya JK na "Chagua Kikwete" kama kwamba hatumjui.
Saa ya ukombozi imekaribia - tayarisheni silaha zenu za maangamizi (Kadi zenu za kupigia kura) safari hii hatudanganyikiiiiiiiiiiii
 
Natumaini Jaji Lewis Makame, Rajabu Kiravu, Tendwa, Saidi Mwema, Abdulrahman Shimbo, Abdulraman Kinana, Yusufu Makamba pamoja na Mgombea wa CCM mnafuatilia na msije mkajaribu kuchakachua kura. Tindo Mhando, Saidi Mkumbwa, Rashidi Othman, Salva Rweyemamu, Rostamu Aziz na wale wote wenye hila na nia ya kutaka kubaka demokrasia habari ndiyo hiyo, salimuni amri kwani hamuwezi kuizuia tsunami !

Tarehe 31 October, Jamhuri ya Tanzania inazaliwa upya.
 
Oooooohhhhh yes, hakika mwaka huu ni wa ukombozi. Watanzania hatimaye tunakaribia mwisho wa mateso na mwanzo mwa matumaini mapya. Hiyo 'nyomi' ni ishara na ujumbe tosha kwa sis m kuwa wananchi wamefikia ukomo wa kuendelea kudanganywa na ahadi zisizo na kichwa wala miguu.

Ndg zangu wana JF juzi nilikuwa nilikuwa kwenye kijiwe fulani tukipashana habari za uchaguzi. Jambo lililonitia faraja ni kuwa kila mwanakijiwe alikuwa na hasira sana na uongozi wa nchi hii. Nikawakumbusha kuwa isije hasira zikaishiwa kwenye kijiwe badala ya kukamilisha zoezi la kutumia ipasavyo silaha yetu ya maangamizi hapo tarehe 31 Oktoba. Wakuu unajua kilichonishangaza, kila mtu alitoa kadi yake ya kupigia kura. Mzee mmoja alituchekesha anatembea nayo eti kwa sababu ana wasiwasi asije aka missplace siku ya maangamizi.

Kwa kifupi mitaani Dr. Slaa amekuwa gumzo na wananchi hata wa kawaida wasiofuatilia mambo sana wamehamasika kuuondoa udhalimu wa sisi m.

Pipooooooooooooooz ...........
 
sitaki kuamini..................Is it?...........aisee!
 
Tarehe 29 Oct. 2010 akina mama wote wa umoja wa makanisa Dar es Salaam watakuwa na ibada ya kuombea uchaguzi mkuu sio amani tu ni uchaguzi mkuu pale kwenye kanisa la KKKT Magomeni maarufu kama mviringo. Sala zao zitasaidia sana kuwasukuma watu kupiga kura na kuchagua Rais mwenye mapenzi mema na nchi yetu, sio siri ni Dr. Slaa!!!!
 
japo wengi waliondoka baada ya kufukuzwa uwanja bado ulijjaaaaaa aaaa lol
 
That is my hoooooooooooooooooooooooooome!! Go Dr Slaaa, we need the change. The sooner the better. Ukichemka 2015 tunakumwaga pia.
 
Jana ilikuwa balaa yaani mishemishe zilikuwa kibao mwanza sipati picha mifoleni ya watu na magari yaani kulikuwa na utitili wa watu simchezo sijawah kuona uo uwanja umejificha lakini kwajinsi umati mkubwa wa watu waliokuwa wakielekea huko yani hakuna kuuliza.
 
ndio maana nataka tusisitize watu wapige kura, hakuna wa kuiba jamani!!!!!

mkuu mnkjj toka jana tumekuelewa sana. Lets be positive kuwa upo umuhimu wa kujipanga kusismamia mchakato mzima wa upiugaji, uhesabuji na utangazaji wa matokeo lakini tusiwek mbele suala la kura kuibiwa kwa kuwa tunaweza kuwakatisha tamma wapiga kura.
 

CCM sasa ni Chama cha upinzani Tanzania.
 
Ahsante sana mkuu kwa kutuletea picha hii ila Kulipuka tuu kwa wingi wa watu kusiwe kwenye kampeni tuu Tuhamasishane na kupiga kura ili tulipuke kwa wingi tukapige kura mpaka kieleweke kwani when the margin results itakapokuwa kubwa na wizi wa kura pia hautakuwepo ila Results margin ikiwa ndogo ndio hapo jamaa wanapopata muda wa kucheza na matokeo..HIMA NDUGU TUKAPIGE KURA KWA MANUAFAA YA TAIFA LAKO NA KIZAZI KIJACHO KIACHWA NA MISINGI BORA YA UTAWALA.....MWEMIZI JAMAA YAKO NDANI YA KOO YAKO (MKE, WATOTOA , BABA NA MAMA, SHANGAZI MJOMBA, BIBI NA BABU NA RAFIKI YAKO JIRANI YAKO WA KARIBU NA MBALI WOTE HIME HIME TUAKAPIGANE VITANI TAREHE 31) NA HATA JIRANI YAKO ALIYEKATAA TAMAA LAKINI AKIWA NA TAMANIO LA UONGOZI BORA AKAPIGE KURA KWA KUFANYA HIVYO JAMAA WATASHINDWA KUCHEZA NA MATOKEO MWAMBIE KURA YAKE NI MUHIMU KATIKA KUCHEZWA KWA MATOKEO HAYO CHA MSINGI AKAONGEE WINGI WA KURA JAAMA WASHINDWE KABISA KUCHEZA NA MATOKEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…