jamani nyie acheni tu!! Mchana tulipigwa mabomu furahisha lakini bado jioni tukarudi tena magomeni., mngeona watu walivyokuwa wanamsubiri kwa hamu,, alivyoingia kwenye saa kumi na mbili hivi watu wakawa wanimba raisi raisi raisi yaani inaleta rahaaaaaaaaaaa. Alivyouona ule umati wetu akasema, "jamani watu wa mwanza, mnanifanya nitokwe machozi kuuona umati wenu". Jamani watu walimshangilia na ilikuwa akitaka kuongea watu wananyamaza kimya, akiongea pointi wanashangilia na kunyamaza ili kumsikiliza. Ama kweli tuombe mungu wapige kura wote kwa hakika ushindi wa slaa mwaka huu utakuwa ni wa kishindoooooooooo!!
"unafikiri nchi hii inaendeshwa na wendawazimu?mkusanyiko wa watu wengi sio ushindi wa chadema kwani kuna watu wanaenda kumsanifu tu slaa kwa ahadi zake za uongo.we unafikiri chama kipya kikitawala nchi hii kutakuwa na maendeleo?si wao watataka kushibisha matumbo yao kwanza na watu wote waliyo wa support ndio watufikirie mimi na wewe na kibaya zaidi watu wanayo support chadema ni wachaga,daima hawashibi.muwe mnafikiria mnacho zungumza,sio upambe tu.unapo zungumzia kodi,sikazi wewe haujawahi kulipa kodi toka uzaliwe.tuache ushabiki,tuangalie ukweli"
Kweli mjj, kilichobaki kuhamasisha watu kwenda kupiga kura na kuzilinda naamini mwaka huu mabadiliko yatatokea..Ndio maana nataka tusisitize watu wapige kura, hakuna wa kuiba jamani!!!!!
Jamani nyie acheni tu!! Mchana tulipigwa mabomu Furahisha lakini bado jioni tukarudi tena Magomeni., Mngeona watu walivyokuwa wanamsubiri kwa hamu,, alivyoingia kwenye saa kumi na mbili hivi watu wakawa wanimba Raisi raisi raisi yaani inaleta rahaaaaaaaaaaa. Alivyouona ule umati wetu akasema, "jamani watu wa Mwanza, mnanifanya nitokwe machozi kuuona umati wenu". Jamani watu walimshangilia na ilikuwa akitaka kuongea watu wananyamaza kimya, akiongea pointi wanashangilia na kunyamaza ili kumsikiliza. Ama kweli tuombe MUNGU wapige kura wote kwa hakika ushindi wa Slaa mwaka huu utakuwa ni wa kishindoooooooooo!!
Hii nchi haideshwi na wenda wazimu ila inaendeshwa na wenye vifafa? kama watu wanaenda kumsanifu Dr Slaa mbona kwa wengine hatuoni pamoja na kuwa safirisha au hawa sanifiki, mpeni moyo huyo kiwete mtashangaa tarehe 31-10-2010, Dr slaa alisha tufikilia kabla hajawa hata rais maana bila yeye hizo pesa za EPA ugezipata hatuhitaji elimu ya mlimani kujua uwezo wa Dr Slaa labda kwa wapumbavu kama wewe mliojaa chuki, udini kila kitu mna kiangalia kwa udini udini badala yakuwa wakweli au kwasababu unajua kushika keyboard na ku-type basi umewasahau Babu zako kule kijijini ambao chai wanakunya siku ukienda kuwasalimia....Ukweli unaoutaka ni upi?"unafikiri nchi hii inaendeshwa na wendawazimu?mkusanyiko wa watu wengi sio ushindi wa chadema kwani kuna watu wanaenda kumsanifu tu slaa kwa ahadi zake za uongo.we unafikiri chama kipya kikitawala nchi hii kutakuwa na maendeleo?si wao watataka kushibisha matumbo yao kwanza na watu wote waliyo wa support ndio watufikirie mimi na wewe na kibaya zaidi watu wanayo support chadema ni wachaga,daima hawashibi.muwe mnafikiria mnacho zungumza,sio upambe tu.unapo zungumzia kodi,sikazi wewe haujawahi kulipa kodi toka uzaliwe.tuache ushabiki,tuangalie ukweli"
daahAm not lucky, picha inagoma kufunguka. May one of us enlarge one for us please.
Natumaini Jaji Lewis Makame, Rajabu Kiravu, Tendwa, Saidi Mwema, Abdulrahman Shimbo, Abdulraman Kinana, Yusufu Makamba pamoja na Mgombea wa CCM mnafuatilia na msije mkajaribu kuchakachua kura. Tindo Mhando, Saidi Mkumbwa, Rashidi Othman, Salva Rweyemamu, Rostamu Aziz na wale wote wenye hila na nia ya kutaka kubaka demokrasia habari ndiyo hiyo, salimuni amri kwani hamuwezi kuizuia tsunami !
Tarehe 31 October, Jamhuri ya Tanzania inazaliwa upya.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Magomeni, Kirumba .
Jamani kwangu haifunguki, sijui hawa jamaa wameshaipiga pini? Natamani kujua yaliyojiri jana huko Ng'wanza.
I know hope springs eternal. But this is a movement. I know John McCain did not believe Obama would beat him. The Kikwete gang does not believe Slaa will win.Hope is an amazing thing. I'm glad to see wadau wote hapa mkiwa na matumaini ya kushinda kiti cha Urais. Ila tukumbuke kwamba waliojiandikisha kupiga kura mkoa mzima wa Mwanza ni 1,586,919, na kuna majimbo 13. And CCM carried all Majimbo in 2005. Na matokeo ya 2010 serikali za mitaa Mwanza mnayajua.
But in mean time--lets HOPE. Ila we should always put things in perspectives!
Yakhe, kampeni zinaendeleaje huko Kisiwandui?Hizi picha ni zilezile zilizopita yaani siku zote jamaa anapigwa picha akiwa anaangalia mkono wa kushoto ,mnachakachua lakini muwekeeni chunvi na sukari karibu hapo tarehe mbili ambapo matangazo yatatangazwa rasmi.