Sasa 1.9 uki round off ni ngapi?? Hivi umewahi soma hesabu au takwimu hiyo 1.9 ni karibu zaidi kwa million 1 au million 2?? Jinga sana wewe. Au chukua average ya chaguzi 3 za 2010 mpaka 2020 utapata wastani wa million 3 kwa hizo chaguzi sasa average ya 3 million kwa chaguzi tatu mfululizo ni chini ya 2 million??
Ingekuwa ni CCM yamewatokea hayo na Shaka ndo angekuwa ameshika jiwe hivyo watu wote hapa mngesema ccm inakwenda kufa ila kwakuwa ni upinzani bc mnasema watu wanapambania chama chao
CCM ilishakatliwa na wananchi kitambo in fact 2015 walikwisha angushwa walichobaki nacho ni Dola kuwalinda. Hivi si ndio JPM alikua anasema chagua magufuli waliacha kabisa chagua CCM!!
Hivi JPM na kelele zote zile kwamba kafanya mambo makubwa ulitegemea Lissu ampeleke vile kwenye kampeni kiasi kwamba hata Kanda ya ziwa alipata coverage kubwa kuliko hata Dar!!
Kama Mama Samia ana Nia njema ya kuleta tume huru basi 2025 mtaenda kushangazwa kuanzia udiwani mpaka Urais!
Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!