zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yeah kasoro CHADEMA tu mwaka wa 30 huu hakitetereki. CUF pia kilijitahidi but uhuni wa CCM ukakipasua but sio kama kilikataliwa na wananchiKwa hiyo hivi vyama nje ya CCM vyote ni feki tu, kumbe vyote vipo mochawri!