Picha Mwigulu...kumbe afurukuti nyumbani!

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Haha ha ha...mimi sisemi kitu nataka wewe mwenyewe ujionee hii picha afu useme kitu.
 
Hapa huyu bwana anamlisha mwanaye.Sioni tatizo mwanaume kusaidia shughuli za nyumbani. Mimi ni mwanaume ila nyumbani napasuaga kuni na kuteka maji kumsaidia mama. Wewe je?
 
Hata mimi huwa na msaidia yf on some stuff...
 
Nilidhani hawez fanya fanya mambo kama haya!
Basi, kama ulikuwa na maana hiyo kwenye mawazo yako, ulitumia vibaya neno 'hafurukuti'.Labda ungesema hivi😛amoja na machachari yake mengi kumbe Mwigulu ni mpole nyumbani kwake.
 
Kinchemba si kizoba!!kikiwa nje kelele nyiingi
 
Basi, kama ulikuwa na maana hiyo kwenye mawazo yako, ulitumia vibaya neno 'hafurukuti'.Labda ungesema hivi😛amoja na machachari yake mengi kumbe Mwigulu ni mpole nyumbani kwake.

Hapo anatimiza majukumu yake kama baba na si upole mkuu
 
Basi, kama ulikuwa na maana hiyo kwenye mawazo yako, ulitumia vibaya neno 'hafurukuti'.Labda ungesema hivi😛amoja na machachari yake mengi kumbe Mwigulu ni mpole nyumbani kwake.

Duh,kwan wewe ni ndungu yako nini?
 
Duh,kwan wewe ni ndungu yako nini?
Mimi nimeelewa hivi: Kwani yeye ni ndugu yako nini?
Jibu langu kwa kifupi ni hili: Mimi namsikia na kumwona kwenye picha tu. Hanijui, simjui, yeye ni mnyiramba mimi mchagga.
 
Basi fresh!
 
Nadhani mtoto akikataa kunywa uji jamaa atamnyonyesha coz naona ana matiti makubwa tu.
 
Mimi nimeelewa hivi: Kwani yeye ni ndugu yako nini?
Jibu langu kwa kifupi ni hili: Mimi namsikia na kumwona kwenye picha tu. Hanijui, simjui, yeye ni mnyiramba mimi mchagga.

It shows he is a real gentleman.
 
Back
Top Bottom