Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.
Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu