Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Mar 5, 2025 #1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025. Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025. Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Mar 6, 2025 #2 Mzee Mpili alisema yeye ni mtu mkubwa Takukuru
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,450 Reaction score 921 Mar 6, 2025 #3 Jasusi
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,319 Reaction score 10,416 Mar 6, 2025 #4 Ila bongo........akili yako tuu..kujimix na wana kimjinimjini..life linasonga.