Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.

CHADEMA

Political Party
Joined
Apr 13, 2013
Posts
495
Reaction score
2,540
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.

Updates;
Msafara ndo unaondoka makao makuu ya CUF, unaongozwa na king'ora as we have Makamu wa kwanza wa Rais...
tayari usafara uko uwanjani wa jangwani..


 

Attachments

  • IMG-20141026-WA0045.jpg
    227.9 KB · Views: 36,312
  • IMG-20141026-WA0044.jpg
    219.9 KB · Views: 38,951
Saafi saaana mkuu endelea kutupa updates


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
 
Very good! anza kututupia picha za mwanzo mwanzo kamanda jinsi maandalizi yanavyoendelea
 

asante sana kwa viongozi waliokubali kuweka tofauti zao na kuamua kwa kauli moja kuunganisha nguvu kupambana na mkoloni mweusi ccm indeed ni jambo la kupongezwa na tutaliweka kwenye maombi ili tuweze kufikia malengo hili watawala hawatalipenda hata kidogo coz linahatarisha uwepo wao.
Asante kurugenzi ya mawasiliano kwa kutuletea tukio hili live.
 
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
 
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...

Vumilia watarusha kuanzia saa kumi kamili jioni mkubwa! Karibu sana tumchomowe mkoloni mweusi.
 
yayayayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi

Lala wewe mlishapingwa bao LA lonado LA Jana! Wivu no baraaaaa we mtoto wa kiume
 
Na iwe hivyo. (Let it be)

Ni chukizo kubwa sana kwa CCM wapinzani kuungana.
Ni mategemeo ya wengi kuwa hakutatokea Yuda Iskariote miongoni mwa wana UKAWA.
 
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi

Hizo ni wakereketwa wavuguvugu la maendeleo wanakodisha wenyewe kwa hela zao dogo. Sio kama ktk mikutano ya chama chakavu kinavyowakodishia ktk mikutano yao mana chama halina mvuto tena
 
Na iwe hivyo. (Let it be)
U
Ni chukizo kuwa sana kwa CCM wapinzani kuungana.
Ni mategemeo ya wengi kuwa hakutatokea Yuda Iskariote miongoni mwa wana UKAWA.
tumejipanga hats kikwete anajua hill! Tutamfuata hukohuko anakotaka kukimbilia kulima mananac
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…