Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Saaa kumi kamili! Source ITV tangazo
Usiku au jioni?
Saaa kumi kamili! Source ITV tangazo
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
UKAWA mkutano umewadodea.Poleni.
vip intelijensia ya geshi la polisisiem inasemaje mpaka sasa?
UKAWA mkutano umewadodea.Poleni.
Hili Gari nalikubali sana, hata wakikata Umeme dozi itakuwa palepale!
Usiku au jioni?
magamba wataisoma ukombozi unakuja punde
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
UKAWA mkutano umewadodea.Poleni.
Hili Gari nalikubali sana, hata wakikata Umeme dozi itakuwa palepale!
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Usiku au jioni?
Hili Gari nalikubali sana, hata wakikata Umeme dozi itakuwa palepale!
Saaa kumi kamili! Source ITV tangazo
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
Mimi ni mgeni hapa Dar, nipo kituo cha daladala cha Mbezi mwisho, nielekezeni jinsi ya kufika hapo viwanjani nikashuhudie kwa macho yangu Tanganyika yangu ikirejea! Msaada tafadhari!