Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,965
Nyoosheni njia ya Mbagala
Poleeeeee zako. Ni jangwani tu leo. Uwanja wa kishujaa leo alipoanguka dhaifu wenu. Wekeni ile video hapa.
Nyoosheni njia ya Mbagala
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
Kuweni makini na vitu vyenye ncha kali .Tunapita Bibi Titi - Mnazi mmoja
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
ITV na STARtv wanarusha kuanzia saa kumi kamanda
Mkuu upo maeneo nini? Mimi kama kawaida nipo na msafara huku...Leo ni mtikisiko tukifika hapo!Hiii ndo kwanza saa tisa..!!! Sipati picha itakapofika saa kumi na moja hali itakuwaje hapa Watu wanamiminika utafikiri msafara wa siafu..
BACK TANGANYIKA
Mkuu upo maeneo nini? Mimi kama kawaida nipo na msafara huku...Leo ni mtikisiko tukifika hapo!
Marahaaaàaaaa chadaShikamooooo UKAWA
Panda bus lilioandikwa la Mkata via Chalinze,mwambie konda akushushe Mbwewe