Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Maccm yatachanganyikiwa

Yachanganyikiwe mara gapi mkuu?? Hapa tayari washabari "Pichu" mara tatu kwa kjiharishia, kumbuka ndo kwanza msafara uko njiani unakuja bado hata kamanda mmoja hajasimama kutoa neno...!!

Nakwambia leo Profesa wa kichina akiona hii anaomba kuongezewa siku za kubakia China!!!

UKAWA ni Noma

BACK TANGANYIKA
 
Hapana. Wametufanyia mengi kwa kadri ya uwezo wao. Wamefika mahali wamechoka wanatakiwa kupumzishwa. Kwa heshima watakubaliana na maamuzi ya wengi na taifa litasonga mbele, maisha yataendelea. Mungu wetu, kwako tunaomba baraka tuweze kubadilisha uongozi wa taifa letu kwa amani na utulivu.
Kwa pamoja wapenda haki wote tuseme AMEN.
 
safi!! Mtujuze....mlisema mtarusha itv nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo live, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo live...

mkuu pole kwa kusubiri lakini nimeona itv wamesema wataanza kurusha kuanzia sa 10 hadi sa 12 jioni, so kuwa mvumlivu tu.
 
Hakika mkuu hicho kitengo ni cha aina yake Si umewapata wale manjagu waliojifanya Makamanda huku wakitaka kumshambulia Mwenyekiti wa Bawacha Kamanda mpambanaji asiyechoka ambaye akiunguruma tu Kuna Sofia Simba wanajificha chini ya Uvungu wa Kitanda wakidhani SIMBA kavamia Mji, Mama asiyechoka muda wote yuko mzigoni HALIMA MDEE..

Sasa hapa tukiwa na support ya Blue Guards toka Cuf na Makamanda toka Nccr hakuna kitakachoharibika

BACK TANGANYIKA

Mwaka kesho ntakwenda kupiga kura yangu kwa ujasiri kabisa nikijua hakuna kura itaibiwa .viva UKAWA.
 
ImageUploadedByJamiiForums1414326749.539444.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1414326767.249868.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1414326804.827288.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1414326835.639265.jpg
Watu wanazidi kufurika tu....lumumba kwisha habari yao!!
 
Angalia mungu alivyo nyanyua ukawa jumla ya wabunge wao bungeni kwa sasa ni zaidi ya 80 na ukawa ilizaliwa mwaka 92 je wangekuwepo miaka 50ilipita ? Maccm yangekuwepo kweli?
 
Hureeeeeeeeeeeeee......

Wape mambo..Magamba leo nyang'anyang'a.....

UKAWA tandika hao wahuni Magamba...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom