Simu yangu ina "gugo map" huko sio!Panda bus lilioandikwa la Mkata via Chalinze,mwambie konda akushushe Mbwewe
JK ni professor wa kichina....hahahahah
Hureeeeeeeeeeeeee......
Wape mambo..Magamba leo nyang'anyang'a.....
UKAWA tandika hao wahuni Magamba...
hapana ni professor j
Simu yangu ina "gugo map" huko sio!
Asanye mkuu nimepanda la kariakoo!Kamanda panda magari yanayoenda kariakoo then waambie wakushushe jangwani au kama magari ya kariakoo hamna panda magari ya ubungu na ukifika ubungo panda magari ya kariakoo.
Magamba mpaka yakojoe mwaka huu, raia wamebadili jina la kituo cha daladala Jangwani sasa wanasema nishushe hapo Ukawa!!
Mkuu unamaanisha JK ni prefesa Jinga..?
Majinga maccm nasikia huko MOROGORO yamechukua umeme ili raia wasifuatilie!!