MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,007
Kwahiyo Chadema mmekubali kabisa kuolewa na CUF?
kwa kuwa wewe umeolewa ?
Kwahiyo Chadema mmekubali kabisa kuolewa na CUF?
Mzee Slaa atakuja na Hawara yake?
Mzee Slaa atakuja na Hawara yake?
Mbona naona zimetawala bendera za CHADEMA tu?
Shikamooooo UKAWA
Mbona naona zimetawala bendera za CHADEMA tu?
Mbona naona zimetawala bendera za CHADEMA tu?
Nyomi waipate wapi? Watu kiduchu tu wamefika tena wengi wakisafirishwa kwa maloriKibo 10 vp leo nasikia nyomi jagwani sio kawaida?
Khaa!! Karibu ukifika nunua kabisa maji baridi ndiyo uende ukakaeAsanye mkuu nimepanda la kariakoo!
Acha kupotosha ona mchanganyiko wa bendera hapo.
Mzee Slaa atakuja na Hawara yake?
Mkuu nipo apa jangwani, hakuna watu kabisa..idadi ya watu ni sawa na mkutano wa tawi wa ccmMakamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Nakubaliana na wewe Mkuu. CHADEMA soon wataanza kulia liaCuf wako kimaslahi zaidi. ndoa ya kwanza walifunga na CCM. Hii ya pili .. Lipumba amewazidi ujanja Chadema