Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
We inakuhusu nini?mmechanganyikiwa eeeh!....hiii speed hamna wa kuizuia
Mkuu, hiyo ni speed ya kufa kisiasa. Hakuna anayetishika. Tena mmeturahisishia sana. Tunaua wote kwa jiwe moja
 
Nimezinywa ndio maana ninaangalia ZBC na SIBUKA halafu nalinganisha nyomi....sasa otorong'ong'o usiogope....au kama bado haujameza dozi za fangasi kameze kwanza ili usichanganye mambo...
Zile dawa zako za kichaa cha mbwa umekumbuka kunywa dozi ya mchana..
 
Kwa mbaaali naona protocal zinazingatiwa hapa na watu wako nyomi hatari.

Huku wana mitambo wa itv wakijiandaa kuavhia mambo kwa hewaaaa.
 
Jusa analia lia hapa eti hii katiba imechakachuliwa wakati boss wake ni makam wa rais
 
We @Ifwero angalia masaburi yako yanavuja nenda kabadili pichu kama wenzio hivi unawaona hapa?

Haraka sana sambalatika unatujeruhi pua hapa

BACK TANGANYIKA
 
Watu wanahesabika

Pwa hahahaha....toka lini ccm wakapata nyomi kama hili?na kwa taarifa yako kila unayemwona hapa kaja peke yake....punguza wivu we mtoto wa kike na taarifa hizi mpelekee mwenyekiti wako la profesee
 
kibo 10 unawaua hawa Gambaz

Endelea hivyohivyo mpaka waombe poooo nyambafu zao hapa bado msafara haujafika..

BACK TANGANYIKA

Washaomba kiongozi na leo tunaanza kuwapangia majukumu ya gerezani rasimi we vuta subira tuu
 
Last edited by a moderator:
ITV televisheni ya Taifa watakuwa hewani..Jongea karibu na Tv yako..

Ila usisahau dawa zako za kushusha pressure
Watu wanahesabika hapa jangwani...kichaa lissu atavua nguo si mda
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    686.6 KB · Views: 334
Cuf wako kimaslahi zaidi. ndoa ya kwanza walifunga na CCM. Hii ya pili .. Lipumba amewazidi ujanja Chadema[/QUOTE

We tangu kundi lako la vigodoro limepigwa marufuku unaweweseka sana!!
Bado laana za laki si pesa zitakuhukumu kucheza taraabu na kujimwagia bia kwenye 0713 ulikuwa unafanya ukiwa na maana gani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom