Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Mkuu, hiyo ni speed ya kufa kisiasa. Hakuna anayetishika. Tena mmeturahisishia sana. Tunaua wote kwa jiwe moja
Weweseko mlilopata juu ya mkakati huu lazima mtaanza kupigana nyie kwa nyie kabla ya 2015 na hapo sisi tutapaita patamu tunawafutilia mbali kizazi cha nyoka