Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Mungu ibariki afrika......
Mungu ibariki Tanzania....

MITAMBO ITV HAIJATULIA KABISA
 
Aisee mic zingekuwa zinasema ya kwanza ingekuwa hii itakayotumika leo jangwani.Ebu vuta picha cheche za mate ya Mbowe,Mandevu,Dr Slaa,Lipumba,Makaidi,Lissu,Mnyika,Dume duni Haji na wengine.Ni hatareee
 
KUNA BANGO LIMEPITA LA UKAWA NI HATARI

BORA KUISHI NA MKOLONI KULIKO CCM

nimecheka sana aise!
 
Wimbo wa taifa unaimbwa hapa

Anakaribisha MAIMUM kuwakilisha waislamu.
 
kiongozi wa shura wa imamu anapanda jukwaani sasa
 
Mkoloni mweusi anazikwa leo hakika 2015 utakua mwaka mchungu sana kwa sisiemu.
 
Sheikh anatoa nasaha...Anatoa nasaha zilizojaa busara sana,....CCM inachanwa live...Anasema Mashetani lazima wakemewe..
 
Naona huu mkutano umegeuka kuwa wau dini..kiongozi wa shura ya maimamu anahutubia hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom