Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Ukawa mapimbi kweli! Wameimba 'Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote, hekima, umoja na amani, Mungu uwabariki ....lakini baada ya muda utayasikia yakiwatukana tena!!!
 
Uzi unakimbia kama dreamliner. Khaaa watanzania wamechoka. Leo nimetoka kuwatumia maskini wangu wa kijijini hela kwa mpesa. Sijawea kuwapatia wote biashara na elimu kwa kuwa kidogo nazalisha ndiyo hivyo tena extended wapo. Eti tunaifanya kazi iliyoshindwa serikali ya ccm. Malabuku.

Bosi nakuonea fahari mno
 
Wale wa Lumumba kule Kibanda maiti kuna yule kibaraka wenu wa Kikwete na kuna thread yenu inasuasua naomba mkaipe sapoti na siyo kuja kunya hapa!
 
Sheikh Ponda kaonewa na Policccm....Serikali amabayo tumeshuhudia kwa miaka 50 ndo imesababishwa mauaji ya Waislamu...
 
Endelea kutujuza kila kinacho endelea mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ccm wamepita na umeme wao huku Arusha. Duu hawa jamaa hatari sana kwa nchi.
 
Shekhe anakemea mashetani kama ccm maana kama hawatend haki wanatenda ya shetani.

ifweero
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia saa 10 kamili mara tu mkutano wa UKAWA ulipoanza hapo Jangwani umeme umekatika maeneo ya Arusha, nahofia kutoa lugha chafu kwa Tanesco, kwa kweli huu uhuni sasa haikubaliki.
 
Ukawa hawajui kuimba wimbo wa taifa..aibuuu

Nafurahi kuona magamba yakifuatilia mkutano wa UKAWA kwa makini...huenda ifweero ukakombolewa...habari za ukombozi ni nzuri kwa magamba kwani magamba pia yanahitaji kukombolewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom