Lissua anaongea sasa
anasema katiba iliyopendekezwa dodoma na wachakachuzi hakuna utofauti wowote na hii tuliyonayo
anasema kuna haki zimependekezwa, wavuvi, wanawake, watoto, wazeee,,,,, kuna haki zimetajwa
haki zootee zilizowekwa ni uongo mtupuuuuu, maana haki zoote za makundi hayo,
watu wa ccm wachakachuaji, wanajidai kuwa haki za watoto ni haki zao., wanasema kila mtoto anakuwa na haki yakupata elimu ya primary na elimu yajuu, anasema hili lipo tangu upeee
anasema eti kuna haki ya elimu ya juuu, anasema wameweka eti fursa, anasema fursa si haki, maana kama huna pesa mtoto wkao hatosoma...