Mzanzibar Halisi
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 284
- 106
Mwanasheria mkuu mtarajiwa Tundu lissu tupe nondo baba.
Ndugu zetu Itv matangazo leo yanaonekana kuna tatizo kidogo kwenye sauti,tunawaomba mtusaidie watizamaji wenu tuwaangalie makamanda wetu wa Ukawa ...asante!
Hotuba za hovyo kweli, upotoshaji mtupu unaendelea hapa
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Weka picha weweee...Watu wanazidi kufurika......
hawa ukawa mbona hawajajipanga kabisa?
Dawa ya jussa ni yule mama aliyemuumbua bungeni kuwa ni chakla ya maalim seifKatiba ya Sitta ni katiba ya MAFISADI...By Jussa