Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Sasa anakuja dr slaa kuelezea jinsi watakavyoshirikiana kugawana madaraka
 
hivi huu mkono wa Dr Slaa kwa nini haunyooki? Ina maana hospitali yake ya ccbrt wameshindwa kumnyoosha?
 
mwalimu anasema, ccm wanahubiri haki, haki , lakini ukizikosa ukienda mahakamani , huwezi kuzidai hazitambuliki....

Dr slaaaa
ngapiiiiiiii... 3, 3, 3,3, 3, 3, 3, 3.............................................................
Katiba inayopendekezwa.......................................
Anasoma makubaliano ya vyama 4. (cuf, chadema, nccr mageuzi, nrd), ni makubaliano ya watanzania tena ni hitaji la muda mrefuuuu
anasoma makubalioano hayo
 
Rais wa tanzania 2015 Dr Slaa anafunguka juu ya makubaliano ya vyama vinavyounda ukawa
 
NRD ni chama gani?
 
"HERI KIPIGO CHA MKOLONI KULIKO CHA CCM" nimelipenda hili bango.
 
Rais wa tanzania 2015 Dr Slaa anafunguka juu ya makubaliano ya vyama vinavyounda ukawa

dah ikiwa hivyo, Tanzania tutavunja rekodi ya kidunia ya kuongozwa na padre Mzinifu, mpora wake za watu na asiyeoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom