Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
MoU

Kuhamasisha wananchi kuikataa katiba ya sitta.

Wanaahidi kutongomana kisa madaraka.
 
Wa Tanzania wamemwagika jangwani kama mvua,kushuhudia jambo la kihistoria!.
 
wamekubariana yafuatayo
1. Kuhuhisha sera za vyama vyetu, ili vyama vyoote viwe vinazungumza mambo yanayofafana
2. Kusimamisha mgombea mmoja kila jiimbo la uchaguzi, (serikali za mitaaa.. Hadi raisi wa jmt)
3. Utaratibu wa namna gani vyama vyotee vitashirikiana katika chaguzi zoote, utaratibu utatolewa hivi karibuni
4, kushirikiana katika mchakato wa kuwafahamisha watz katika kukataa katiba inayopendekezwa, haijazingantia maoni ya wananchi, bali kikundi cha wachache, ccm na wafuasi wake
5. Kujenanga ushirikianao katika mambo yoote muhimu kwa taifa hili
6. Kuhakikasha muungano wetu unalindwa gharama zozote zile
7. Mambo yoote yatafanyika bila ubaguzi wowote,
 
Jangwani hii leo
 

Attachments

  • 1414331360155.jpg
    1414331360155.jpg
    51 KB · Views: 356
Huyu mzee ni juha kabisa wangeanza kufanya UKAWA chama kimoja kabla hawajawazia madaraka

Nenda bar kaangalie mpira huu uzi hauwausu ninyi gambaz...tangu mwanzo wa hii thread unapayuka tuu ka kichaa vile..
 
I real feel ashamed of what goes on with a small group of JF members indiscipline comments with this thread.

Moderators please and kindly do the needful.
 
Itv ni shidaaa sauti imegoma kabisa...
Watakao tia saini, ni wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama vyoote
 
wamekubariana yafuatayo
1. Kuhuhisha sera za vyama vyetu, ili vyama vyoote viwe vinazungumza mambo yanayofafana
2. Kusimamisha mgombea mmoja kila jiimbo la uchaguzi, (serikali za mitaaa.. Hadi raisi wa jmt)
3. Utaratibu wa namna gani vyama vyotee vitashirikiana katika chaguzi zoote, utaratibu utatolewa hivi karibuni
4, kushirikiana katika mchakato wa kuwafahamisha watz katika kukataa katiba inayopendekezwa, haijazingantia maoni ya wananchi, bali kikundi cha wachache, ccm na wafuasi wake
5. Kujenanga ushirikianao katika mambo yoote muhimu kwa taifa hili
6. Kuhakikasha muungano wetu unalindwa gharama zozote zile
7. Mambo yoote yatafanyika bila ubaguzi wowote,

haya hayatekelezeki
 
Hati ya makubaliano inasema yafuatayo kwa mujibu wa dr slaa

1.kuhuisha sera za vyama vyao na kuunganisha sera zinazofanana
2.kusimamisha mmoja kwenye ngazi zote za uchaguzi kuanzia serikli za mitaa
3.utaratibu wa ushiriki wao wa uchaguzi utatolewa na vyama ktk wakati muafaka hivi karibuni
4.kushirikiana ktk mchkato wa kuelimisha umma kupigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa
5.muungano usio wa kimaslahi
6.
7.ushirikiano na asasi zisizo za kiserikali
8.kuwaletea watz tz mpya

makubaliano yametiwa saini na
mbowe,slaa,lipumba,seif sharif hamad, mbatia,lusena nyababe,dr emanuel makidi na katibu wake mkuu
 
napata shaka ukimya wa CCM katika muungano huu wa ukawa ambao hata chizi anajua sio muungano mzuri kwa CCM. CCM wapo kimya tu wakiuangalia bila kutia neno. Inawezekana wako nyuma ya huu muungano japo sio waziwazi nia ikiwa ni kuua upinzani na kila chama kianze moja baada ya kuparanganyika UKAWA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom