Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Katiba ya Chenge pahala pake ni kutiwa katika debe la taka..
Maalim seif sasa...katibu mkuu wa kudumu wa cuf
Ninashukuru mungu kingamuzi changu hakina channel ya ITV.Ni mbaya sana watoto wakisikia uongo wa Slaa na matusi ya Jussa
Makamu wa rais znz wa serikali iliyopo madarakani hivi sasa, anasema katiba haifai ila cha ajabu ndio makam wa rais...utam wa madaraka na madlahi
anasema waznz walikataa mfumo wa vyama vingi