Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
duh huyu mzee naona kachanganyikiwa. Eti katiba imepigiwa kura ibara kwa ibara na haikupigiwa kura katiba nzima! Kayatoa wapi haya?
ninachokiona hapa ni kwamba hawa ukawa wanapinga katiba mpya kwa hoja nyepesi sana
Seif anasema watz walikataa mfumo wa vyam vingi, anarudia mara tatu neno hilo,sijui anataka kuwaambia nn watz hapa
duh huyu mzee naona kachanganyikiwa. Eti katiba imepigiwa kura ibara kwa ibara na haikupigiwa kura katiba nzima! Kayatoa wapi haya?
Si nimeuliza tu kijana maana mpaka saizi kuna coster Saba zinapakia watu hapa
Khaa!! Maalim sawasawa kajichokea bora awaachie vijana sasa..
Hacha uxenge wwMaalim Seif anataka kusumbua watu tu,akitoka hapo lazima akimbizwe hospital kushusha sukari.
Maalim seif hajui chochote kuhusu katiba! Ni aibu
Hacha uxenge ww