Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Lumumba kunawaka moto..
mrandizi gar lenu lakuwaludisha. tuta kua pale pale
Slaa anasema treni tatu zimesomba wazanzibari kutoka znz kuwaleta dar
hakuna kura ya makhaaaaa.... Iliyopigwaa, sisi zanzibar ni hapana, hapana hapanaaa....... Nyinyi watanganyika manasemaje???..................
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
matusi ya nini mkuu?
duh! Maalim anaendelea kuweweseka. Eti theluthi mbili za Zanzibar haikupatikana
napata shaka ukimya wa CCM katika muungano huu wa ukawa ambao hata chizi anajua sio muungano mzuri kwa CCM. CCM wapo kimya tu wakiuangalia bila kutia neno. Inawezekana wako nyuma ya huu muungano japo sio waziwazi nia ikiwa ni kuua upinzani na kila chama kianze moja baada ya kuparanganyika UKAWA.
Anayetukana ------ gan uyo
Ebu UKAWA mtupe update
Yani vyama vyote ndio wananchi ndio hawa? Kweli hawana mvuto!
Inakadiriwa watu waliofika hapo Jangwani ni zadi ya 300,000