Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Ukawa ndio habari ya mpya kazi ni moja tuu kuitoa ccm madarakani
 
Kwa sasa ccm

kwa hari, hawana chao, ukawa imekuna pale pale panapowasha
 
Ntapita bàadae kujua historian yetu inaandikwaje jangwani leo. Go UKAWA go
 
Huyu mzee anaye ongea si mzima kabisa!
 
chademaa ehheeee....... Ukawa, cuf eheeee.,....., nrd, nccr mageuzi.....
Mabtia, tumeamua kuweka mbele maslahi ya tanzania mbele....
Tuliowapa mamlaka wameshindwa.... So sisi tumechukua dhamana hiyo...
 
Mbatia angekuwa mjanja ange vua ubunge aliyo pewa na Prof Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Wakati ndio sasa Mabadiliko ya kweli yameanza jangwani hadi ikulu UKAWA twende Nchi hyo mikononi mwetu lain kama tunanawa vile this is what I was waiting for since 2005
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom