Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Mbatia safi sana amesema akishida cuf ukawa imeshinda akishinda Chadema ukawa imeshinda ubarikiwe sana Mbatia.
 
Hata mimi nimemsikia ila naamini alikuwa ana maana ya TANU kufa kifo cha mende au alikosea kwenye mwaka. La msingi ni kuwa mzee ana imani kuwa kifo cha CCM kimekaribia sana leo kuliko ilivokuwa jana.

Mungu ibariki Afrika, Tanganyika na Zanzibar.

Udumu muungano wa serikali 3

mkuu, makaidi hakukosema bali alimaanisha alichokisema. Kwani TANU ipo mpaka sasa?
 
James Mbatia:"Katiba hii haifai kabisa, ni Janga la Taifa, tuikatae, na kura ya maoni pia haifai, kuna kauli nyingi zimetoka"
 
ona hii panya imepotea shimo imeingia shimo la nyoka...!!!

We pepo toka hapa sio lumumba hapa sawa.. Hatuna utamaduni wa kusomba watu kwa mabas wala malori ukiona hivyo jua watu wamejitolea wenyewe hawajashawishiwa na mtu wala kutishwa kama mnavyofanya ninyi ukoo wa panya

haya tokaaaaa

back tanganyika

ha ! Ha! Haaa! Kamanda umetisha.
 
James Mbatia: Historia iliyoandikwa leo iwe njia ya kuikomboa Tanzania kwani wameamua kuweka maslahi ya Taifa mbele na siyo maslahi ya vyama vyetu.

James Mbatia: Viongozi wa dini walilikanya Bunge la Katiba kwa kuwa walijua kuwa wanaenda sehemu siyo sahihi, lakini kinyume chake wakadhalilishwa.

James Mbatia: Baada ya kudhalilishwa viongozi wa dini wanyoshe mkono wao kwa Bunge la Katiba kwani walishaliasa.

James Mbatia: Katiba iliyopendekezwa ni janga la Taifa, haifai haifa kabisa.

James Mbatia: Serikali haiaminiki juu ya kura ya maoni, kumekuwa na kauli tofauti tofauti kutoka katika dola hiyo hiyo moja.

James Mbatia: Tumekuja na utulivu wa ndani ya mioyo, na nawaomba Viongozi wa mikoani watuamini na waangalia nani anakubalika aachiwe kugombea katika ngazi zote.

Mbatia amemaliza sasa anamkaribisha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
 
Viongozi wa ukawa mkiaacha itikadi zenu haza za kidini agharabu chama cha cuf,basi,tanzania itazaliwa upya.
Mungano huu ni mzuri ila cuf wanatanguliza dini kana kwamba nchi hii ni ya waislam,
cuf badilikeni msitugawe watanzania kupitia muungano huu tubadili historia.....
Viva ukawaaaaa
 
Vyama havifi Bali binamu aliapa mambo ya kitaifa yanayofanana Lakini yawemo ktk hotuba zao za kila siku

Sio rahisi kwa chama chochote kufa isipokua migongano ya maslahi baina ya viongozi na vyama vyao. hebu fikiria muungano huo ukivunjika week au miezi kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom